President William Ruto ametangaza kuongeza mishahara ya wafanyakazi kwa 12% na 15% kwa wale wa agriculture wakati wa Labour Day celebrations kule Vihiga County. Serikali inasema hii move itasaidia kuinua maisha ya common mwananchi ambaye amekuwa akistruggle na high cost of living.
Kwa ground, hii inaweza kumaanisha extra pesa kidogo kwa mfanyakazi labda kusaidia kulipa rent, kununua chakula ama kusort school fees. Lakini swali kubwa ni kama hii increase itaonekana kwa payslip kweli ama itaishia kupotea kutokana na high taxes na bei ya vitu kupanda.
Upande mwingine, Federation of Kenya Employers wamepush back wakisema hii 12% ni too much na inaweza kufanya biashara kuwa expensive zaidi, especially kwa SMEs. Hii inaweza kusababisha wengine kupunguza workers ama kupandisha bei ya bidhaa na mwisho wa siku ni mwananchi tena anaumia
Pia serikali imeahidi better healthcare kwa public servants walk in, walk out bila kulipa extra ambayo inaweza kusaidia kupunguza medical burden kwa baadhi ya families.
Kwa hivyo, while hii inaonekana kama good news, impact yake kwa mwananchi wa kawaida bado iko unclear ni relief ya kweli ama ni short-term win yenye inaweza kuleta long-term pressure?
Source : Citizen digital