Ruto was sacked over land - Karua

Ruto was sacked over land - Karua

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,253
Ruto was sacked over land - Karua

12.jpg

NARC-Kenya leader Martha Karua said yesterday that Deputy President William Ruto was sacked from the Cabinet in 2011 because he illegally acquired and sold a government forest in Ngong. Karua, a former minister in the Grand Coalition government of 2008-13, said the DP was insincere this week on the factors that led to his sacking.

"Back then I was a member of the backbench in Parliament when we raised issues of integrity against Ruto, as he was facing a fraud case regarding Ngong Forest land. He had taken cash from Kenya Pipeline in exchange for that land." The DP has lately been involved in an escalating exchange of words with Cord leader Raila Odinga over a decision by President Uhuru Kenyatta to allow Uganda to export sugar into Kenya.

Ruto has said Raila, who was Prime Minister and coprincipal with President Mwai Kibaki in the Grand Coalition, sacked him from the Cabinet because he cancelled the sugar import licences of smuggling barons. But Karua told a press conference at her party headquarters in Nairobi,

"Following our agitation in Parliament – and Hansard can bear me witness – he and another minister, whom I can't mention here because he isn't part of the debate now, were removed from Cabinet."

The courts later dismissed the land case against Ruto, after a key witness failed to testify. Karua said if Ruto is convinced that his sacking was linked to the cancellation of sugar baron licences then he should give out the list of all the companies and individuals whose permits were cancelled, backed up by information on how they had been approved.

Yesterday, seven ODM lawmakers claimed that proceeds from sugar imported by the government are financing terrorism. The MPs alleged they have evidence indicating that part of the money facilitated the April 2 Garissa University terrorist attack in which 148 were killed by al Shabaab militants. They maintained that most of the university students killed in Garissa "were from Western Kenya".

The MPs' statement was read by the Busia woman representative, Florence Waingah, during a press conference at Orange House, ODM headquarters, Nairobi. They said close friends, relatives and business associates of top government officials rely on state protection and coverups to import inexpensive sugar into the country. They declared that the sugar barons have captured the state and declared war on the people by ruining longstanding sources of livelihood across the country.

"The economic sabotage and economic crimes are going nationwide. When a regime turns itself into a mafia state, the people have a right and a duty to stand up and protect their livelihoods. "Across the Rift Valley, the dairy industry is being killed by one single company that is pursuing monopolistic tendencies in the country and the region. It has already paralysed New KCC," Waingah said.

Although they did not name the dairy company, the MPs vowed to mobilise their supporters to boycott all dairy products associated with the firm.

Ruto was sacked over land – Karua | The Star
 
Ruto was sacked over land - Karua

Yesterday, seven ODM lawmakers claimed that proceeds from sugar imported by the government are financing terrorism. The MPs alleged they have evidence indicating that part of the money facilitated the April 2 Garissa University terrorist attack in which 148 were killed by al Shabaab militants. They maintained that most of the university students killed in Garissa "were from Western Kenya".

Mkuu kwa hiyo hawa Alshabaab walikuwa contracted to attack Garrisa with a specific instruction of killing westerners?...shikamoo wanasiasa
 
Hata sisi hapa TanZania tuna fisadi Lowasa na genge lake ambao wameimaliza TanZania kwa wizi baada ya kukatwa na Chama Dola (CCM) kugombea uraisi kwa sababu ya Ufisadi uliokithiri amenunua Chama kilichokuwa Kikuu cha Upinzani TanZania na tegemeo la wengi sasa yeye fisadi Lowasa/ukawa na genge lake wanataka kupata uraisi wa TanZania hilo kamwe halitatokea kwani TanZania ni nchi ya watu na yenye misingi ya Kijamaa na kamwe haiwezi kwenda kwa mafisi kama akina Uhuru Kenyata, fisadi Lowasa &Co.

Sasa Wakenya mnaaadhibiwa kwa kukabidhi nchi kwa mafisi na wanyonya damu ya Wanyonge sisi huku hilo halitatokea fisadi Lowasa na genge lake hawawezi kushinda Uraisi TanZania!
 
Mkuu kwa hiyo hawa Alshabaab walikuwa contracted to attack Garrisa with a specific instruction of killing westerners?...shikamoo wanasiasa

Kamanda umeona eeh?..wanasiasa wakenya hawajambo mazee...hehehe....Mwenzio nimecheka niliposoma hio kauli we acha tu!
 
Ndugu yangu umesahau hatimaye Mungu ndiye muamuzi ya yote. Ndiye yeye ataamua kumpa au kumnyima mgombea yeyote. Baada ya lowasa kukatwa hakuna mtu aliyejua ataibukia upinzani kwa nguvu kubwa hivyo. Hakuna aliyefahamu lipumba angekimbia cuf. Hakuna aliyefahamu Dr Slaa angezira. Hayo ndio maajabu ya Mungu. Hakuna ajuae ya kesho. Siku sabini za kampeni ni nyingi sana.
 
Nitawapa kura yangu UKAWA kwasababu nakubaliana na katiba iliyopendekezwa na tume ya Warioba; ccm hawawezi kutupa katiba ya ukombozi!! Tukipata katiba nzuri maendeleo ya nchi yatapatika bila wasiwasi!
 
Mkuu kwa hiyo hawa Alshabaab walikuwa contracted to attack Garrisa with a specific instruction of killing westerners?...shikamoo wanasiasa

Siasa za Kenya hizi.....kumekucha sio mchezo!
 
Ndugu yangu umesahau hatimaye Mungu ndiye muamuzi ya yote. Ndiye yeye ataamua kumpa au kumnyima mgombea yeyote. Baada ya lowasa kukatwa hakuna mtu aliyejua ataibukia upinzani kwa nguvu kubwa hivyo. Hakuna aliyefahamu lipumba angekimbia cuf. Hakuna aliyefahamu Dr Slaa angezira. Hayo ndio maajabu ya Mungu. Hakuna ajuae ya kesho. Siku sabini za kampeni ni nyingi sana.

Mungu ni Mwema na ndiyo maana hata siku moja hawezi kuwaachia fisadi Lowasa na genge lake Uraisi wa nchi yetu kipenzi ya TanZania na unajua kwanini? sasa nitakwambia kwa sababu TanZania ni mpango wa Mungu, na ndiyo maana mwanzoni fisadi Lowasa na genge lake walikuwa wanasema hakatwi mtu CCM, mara sijui haondoki mtu CCM na wataondoka wao lkn Mungu akasimama upande wa TanZania na fisadi Lowasa akakatwa na Tume ya Maadili inayoundwa na wazee wenye busara ktk nchi yetu na ambao mchango wao unatambulika siyo tu hapa nchini bali nje ya Mipaka yetu pia na sasa yeye fisadi Lowasa na genge lake la wezi wa rasilimali zetu wakakimbilia CHADEMA na huko wakakipora Chama kutoka kwa wananchi na sasa CHADEMA kinajulikana kama Chama cha Mafisadi hata mmoja wa Viongozi makini waliyoshiriki kwa kiasi kikubwa kwenye kuijenga CHADEMA Bw.Slaa ameamua kuondoka chadema baada ya kuona chama alichokitolea jasho kukijenga kikinunuliwa na fisadi Lowasa na genge lake!
 
Kamanda umeona eeh?..wanasiasa wakenya hawajambo mazee...hehehe....Mwenzio nimecheka niliposoma hio kauli we acha tu!

chief, ni dunia nzima...sometimes wanasiasa huwa kama wana akili za panzi
 
Hata sisi hapa TanZania tuna fisadi Lowasa na genge lake ambao wameimaliza TanZania kwa wizi baada ya kukatwa na Chama Dola (CCM) kugombea uraisi
Ufisadi wa Lowassa upo wapi? halafu unakuja kubwabwaja kulazimisha kuhusisha tuhuma zako na yaliyomo kwenye huu uzi..ushaambiwa maagizo yote yalitoka 'mamlaka ya juu' (mkwere), ambaye mpaka sasa hajatupa majibu licha ya kuwa mpira wa 'richmond' umetupwa kwake...au ndo sizitaki mbichi hizi...bado tunasubiri majibu...
kwa sababu ya Ufisadi uliokithiri amenunua Chama kilichokuwa Kikuu cha Upinzani TanZania na tegemeo la wengi
Una ushahidi wowote kama CDM imenunuliwa..ukituonyesha ushahidi nitakubaliana na wewe..kama hauna acha kuropoka hovyo..hizo propaganda hazifui dafu hapa...
wanataka kupata uraisi wa TanZania hilo kamwe halitatokea kwani TanZania ni nchi ya watu na yenye misingi ya Kijamaa na kamwe haiwezi kwenda kwa mafisi kama akina Uhuru Kenyata, fisadi Lowasa &Co.
wewe ni mpiga kura mmoja kuna wenzako Zaidi ya Millioni 24 tutakaoshiriki hayo maamuzi, wewe na ki-avatar chako cha mbwa hautuchagulii Rais...nani ana shida na ujamaa sasa hivi,labda ACT, ujamaa ulikuwa enzi za mwalimu...
Sasa Wakenya mnaaadhibiwa kwa kukabidhi nchi kwa mafisi na wanyonya damu ya Wanyonge sisi huku hilo halitatokea fisadi Lowasa na genge lake hawawezi kushinda Uraisi TanZania
Mkuu, subiri October sio mbali kama Lowassa anashinda au hashindi tutajua...huu uzi hauhusiani na uliyoyaandika..
 
Mungu ni Mwema na ndiyo maana hata siku moja hawezi kuwaachia fisadi Lowasa na genge lake Uraisi wa nchi yetu kipenzi ya TanZania na unajua kwanini? sasa nitakwambia kwa sababu TanZania ni mpango wa Mungu, na ndiyo maana mwanzoni fisadi Lowasa na genge lake walikuwa wanasema hakatwi mtu CCM, mara sijui haondoki mtu CCM na wataondoka wao lkn Mungu akasimama upande wa TanZania na fisadi Lowasa akakatwa na Tume ya Maadili inayoundwa na wazee wenye busara ktk nchi yetu na ambao mchango wao unatambulika siyo tu hapa nchini bali nje ya Mipaka yetu pia na sasa yeye fisadi Lowasa na genge lake la wezi wa rasilimali zetu wakakimbilia CHADEMA na huko wakakipora Chama kutoka kwa wananchi na sasa CHADEMA kinajulikana kama Chama cha Mafisadi hata mmoja wa Viongozi makini waliyoshiriki kwa kiasi kikubwa kwenye kuijenga CHADEMA Bw.Slaa ameamua kuondoka chadema baada ya kuona chama alichokitolea jasho kukijenga kikinunuliwa na fisadi Lowasa na genge lake!
Hebu toa ujinga wako hapa, naona ushakunywa KC unashindwa point yoyote Zaidi ya utumbo...
 
Back
Top Bottom