Ruto's philanthropy exposed

Jibu zuri sana, ila poleni..
Wakikuyu watele ambao hawana kazi na wana sota..

Nani ashawai fika gatundu kw kina uhuru ajionee, kuna place hata network hakuna
Bana. Mimi nmefika huko na watu wengine wana umaskini kuruka.
Hii mambo Watu wanassume eti juu unaishi kando ya Uhuru uko na pesa ni uongo mtupu. Its stereotyping.
 
No stereotyping here, kikuyu central has produced 3 presidents isn't that privileges ? You don't have to get a job for you to know that the community is enjoying privileges. 90 % of the governors of the central bank came from kikuyu central province,am using kikuyu central because central province has got other tribes like mbeere and others who are not even known to the public,those are the shareholders of naivasha Depot usije hapa kutuaminisha vitu ambavyo havipo, maana wajinga hawapo tena Kenya.
 
Wajinga hawapo tena Kenya
Your browser is not able to display this video.
 
Bana. Mimi nmefika huko na watu wengine wana umaskini kuruka.
Hii mambo Watu wanassume eti juu unaishi kando ya Uhuru uko na pesa ni uongo mtupu. Its stereotyping.
Wajinga hao, hawajatembea ndio tatizo..kuna place wakikuyu wanateseka mbaya sasa hadi unawahurumie, ndio manake wwngi unawakuta wanaamua kujiongeza na kuja mijini hku wengine wakiishia kulala kw streets..

Alafu unakuta zuka hapa anaongelea wakikuyu tu, ile kitu wanajichomea ni vile wana roho ngumu..
Mtu hata akiwa na hali ngumu kiasi gani atampigia mtu wao kura, hapo ndipo kidogo akili zao wanaweka parking
 
Hebu kamsikize huyo mama anavyotema cheche za maneno ,ishara tosha watu washachoka mwanangu.
Your browser is not able to display this video.
 
Usichangie usivyovijua maana utaonekana zuzu, wakikuyu wanaoteseka wametelekezwa na viongozi wao wenyewe kwa kuwafanya squatters tofauti na maeneo mengine ambayo ni sera ya serikali toka enzi za Kenyatta kutopeleka miradi ya maendeleo huko. Nambie Leo Kama utapata kikuyu central eneo ambalo linafanana na hola kimiundombinu?.
 
So what if Kikuyu's have 3 presidents? I still don't have a job and I have to work to earn my living.

This is like assuming everyone in America is rich and don't deserve anything because they are in the richest country in the world.
 
We ndo unaongea sasa.
Hapo kwa Kupiga kura ndo wengi wa Wakikuyu hawapendi kufikiria.

Am hoping by 2022 at least we'll sensitize people waelewe umuhimu wa kupigia kura sera sio mtu.
 
We ndo unaongea sasa.
Hapo kwa Kupiga kura ndo wengi wa Wakikuyu hawapendi kufikiria.

Am hoping by 2022 at least we'll sensitize people waelewe umuhimu wa kupigia kura sera sio mtu.

Solution ya hii maneno yote ni kumvotia Ruto tu.
 
Solution ya hii maneno yote ni kumvotia Ruto tu.
We mdanganyika do you know what questioning government is?? Jaribu kuuliza CCM swali uone ukija Nairobi Hospital kama lissu na risasi kwa mwili.

Jubilee out 2022. Kila MTU hadi hao akina Murkomen na sakaja. They stood by impunity in 2013 & 2017 when akina msando and Juma were being killed. All of them have become millionaires and billionaires in less than a decade doing business with government.

In fact there should be a law that no civil servant should do business with government including their proxies.

We need a fresh government in 2022 sio kama nyinyi mmekwama na CCM tangu Tanzania ianze.
 
Uzuri Ruto hata wakimyima 2022 Bado 2017 atapambana nao, tofauti na Jaluo usiku umekaribia kwake
 
So what if Kikuyu's have 3 presidents? I still don't have a job and I have to work to earn my living.

This is like assuming everyone in America is rich and don't deserve anything because they are in the richest country in the world.
Kama ni coffee sector wame right off madeni Mara ngapi? Hebu nambie wakulima wa miwa na mahindi Kama wanafanyiwa hivyo? Ingekua miwa zinalimwa central wange right off madeni yote ,wakulima wa miwa magharibi na kwale wamefilisika na serikali hii ambayo inaongozwa na mlevi na mwizi namba one, ana import sukari halafu anaipeleka uganda then badae wanaileta hapa eti ni ya east Africa community hawalipi ushuru wanabakia kunyanyasa wajasiriamali na wamachinga yani familia mzima ni wezi Hadi wajukuu.
 

Hahahah vile unaongea unadhani ni virahisi hivyo?

Tunapatia Ruto akae kwa white house. Tunajua uhuru ako na mambo mengi na amemu side line Ruto akafanya ufisadi na familia yake..na sasa ameita BABA kwa BBI ili waendelee kuiba vizuri. I smell fishy on this two clowns..sijui itakuja cabinet gani baada ya hizo 14 days. Naona ndio timu ya BBI kunyonya kenya yote itaingia. Ruto will come with new party and new system not Jubilee and ODM politics.

We have to stop this greedy vultures soon, bila hivyo tutaparara tushindwe pata hata senti za kubadili ngotha. Ruto ndio ako na nafuu. sioni politician mwingine mwenye atafaa kukuwa president.
 
Mimi zuzu, sasawa[emoji848][emoji848]
 
We ndo unaongea sasa.
Hapo kwa Kupiga kura ndo wengi wa Wakikuyu hawapendi kufikiria.

Am hoping by 2022 at least we'll sensitize people waelewe umuhimu wa kupigia kura sera sio mtu.
2022 kidogo naona kuna mabadiliko kiasi, manake naona kidogo ndugu zetu wakikukuyu kuna baadhi wameanza kuelewa..
Manake 2017 tuliimba mapambio ya ndani na tibim lkn km ni namba tunaisoma wote so kilichobaki kila mtu apambane na hali yake mazee..

Kwanza sai kenya kila mtu wanaendekeza rushwa, alafu utakuta mtu anasema wakikuyu pekeake ndio wanaiba..
Sai mafisadi wana gang up kisha wanafanya yao kiulaini tu..
Tutawalaumu sana wakikuyu mpka kiama, sisi tusifungue akili tumchague kiongozi bora
 
KTDA is private and KPCU has been looted countless times hadi ikabidi tungoe kahawa central.
You can't blame Kikuyu's for your own problems blame the government.
 
Jubilee imetesa sana wakenya hii miaka 8 with fake promises yet to be fulfilled to date. Yani majamaa walikua wanaropokwa tu wakati wa campaign ili mradi wapewe kura sasa serikali imekua chumba cha ufisadi.
Uzuri Wakikuyu na wakenya wengine wengi wameona haya na come 2022 we will take them all home.

Ukipata mkenya analaumu Wakikuyu eti sababu ya mashida anayopitia itakua ni mtu hajielewi na ana roho mbaya tu.

Moi aliiba Kenya miaka 24 na bado Kalenjin wanaibiana mifugo wenyewe kwa wenyewe lakini sijawahi sikia mtu akisema Wakalejin ni wezi.
 
Umegonga ndipo kabisa, sijawai skia mtu akisema wakale ni wezi na wakati moi pia alijimilikisha vingi.

Na hii miaka minane imefungua watu wengi akili, manake pia our great guka ni mkikuyu aliye reside watamu tangia uhuru na akaoa hko hko mpka kuwazaa mababu zetu..
So nko na ndugu pia vile vile na mashemeji wasapere, na wanachokiongea kw sasa utashanga..

Hata tuko na family group kw whatsapp ma cousins wote kutoka(molo, nakuru, gilgil, nairobi, mombasa, malindi, watamu, lamu)
..so najua kile ninachokiongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…