komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Engineer nimekuelewa kabisa kw hilo, cz upendeleo upo na haujaanzia kenya..Kama ni coffee sector wame right off madeni Mara ngapi? Hebu nambie wakulima wa miwa na mahindi Kama wanafanyiwa hivyo? Ingekua miwa zinalimwa central wange right off madeni yote ,wakulima wa miwa magharibi na kwale wamefilisika na serikali hii ambayo inaongozwa na mlevi na mwizi namba one, ana import sukari halafu anaipeleka uganda then badae wanaileta hapa eti ni ya east Africa community hawalipi ushuru wanabakia kunyanyasa wajasiriamali na wamachinga yani familia mzima ni wezi Hadi wajukuu.
Tatizo ukiangalia mafisadi wakuu wa hayo mashamba sio wakikuyu pekeake