Ruvu Quality Mnayo Imarisheni Kikosi

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Pamoja na kupoteza kwa magoli manne kwa moja timu ya Jkt Ruvu wamenikosha katika umiliki mzuri,jinsi walivyoweza kutumia nafasi kati ya mtu na mtu,kuanzia langoni mwao hadi kukaribia au kuingia eneo la box ya Simba

Shida ni jinsi ya safu ya mbele inavyojipanga na namna wanavyoshirikiana katika kutafuta goli au kufunga
Ruvu itafute wachezaji watatu maahiri hapo mstari wa mbele hakika wanaweza kuwa moja ya timu bora katika ligi yetu ya Nbc.

Hongereni kwa soka zuri kama ni
Kufungwa si ajabu hata Manchester United naye kafungwa jana nne tena bila!
Kwangu mimi leo mmeonyesha Quality kuliko hata washindi.
 
Kwenye league hatuangalii mpira mwingi... kikubwa matokeo
 
Luh!
Utopolo bhana!
Au basi
 
wanaweza kuwa moja ya timu bora katika ligi yetu ya Nbc.

.

NBC wanatenda ya kudhamini hii ligi kwa miaka mingapi?

Mwaka jana ilikuwa Vodacom, mwaka kesho anaweza akawa mwingine.
 
Kwenye league hatuangalii mpira mwingi... kikubwa matokeo
Ukisema matokeo tu si sawa kuna kipindi tuwe ma expart tutafute kujikwamua ktk aina ya soka tulio nayo na tusonge mbele next level si kuweka mazoea...mpira wetu ubadilike na hapa swala la quality linachukua nafasi yake pakubwa sana
 
Mpira ni sayansi-Waangalie Ruvu shooting namna walivyokuwa wanacheza ila miili ilikuwa imechoka sana...walitambua sana kwamba wana mechi mbili kubwa kwao Yanga na Simba kwa kufuatana na tena mechi hizi tofauti yake ni siku tatu tu....Halafu mechi ya Yanga wakaipeleka Kigoma,wakatumia energy ya kutosha kupata sare na baada ya hapo ikaanza safari ya masaa 48 kufika dar and then ucheze na Simba.....

Hasara ipo kwao ktk vita ya kushuka daraja,ile goal difference ya -11 baada ya kuongezeka goal 3

Timu ndogo waache tamaa ya pesa bila kuangalia mustakabali wa timu zao kubaki ligi kuu
 
Tatizo wanakamia kwa Kurwa halafu wanaachia kwa DOtto
Hiyo ni kawaida hata bar elona ilipokua kwenye chart na kina messi kila timu iliikamia na ikawa ni sifa kubwa kumfunga barcelona....sasa kwa form ya yanga sasa hivi kila timu inakamia kumfunga yanga ambaye hajapoteza

Ni sawa na sakata la George mpole na Mayele...

George amemfikia Mayele kwenye mbio za ufungaji..lakini jinsi anavyokabwa mayele ni tofauti sana na anavyokabwa George mpole
 
Viongozi wa Ruvu Shooting ni hopeless kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…