ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Pamoja na kupoteza kwa magoli manne kwa moja timu ya Jkt Ruvu wamenikosha katika umiliki mzuri,jinsi walivyoweza kutumia nafasi kati ya mtu na mtu,kuanzia langoni mwao hadi kukaribia au kuingia eneo la box ya Simba
Shida ni jinsi ya safu ya mbele inavyojipanga na namna wanavyoshirikiana katika kutafuta goli au kufunga
Ruvu itafute wachezaji watatu maahiri hapo mstari wa mbele hakika wanaweza kuwa moja ya timu bora katika ligi yetu ya Nbc.
Hongereni kwa soka zuri kama ni
Kufungwa si ajabu hata Manchester United naye kafungwa jana nne tena bila!
Kwangu mimi leo mmeonyesha Quality kuliko hata washindi.