Ruvu shooting mmejipiga risasi mguuni

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
13,628
Reaction score
20,992
Hawa jamaa kimakaratasi wao ndio wenyeji, ila kiuhalisia Simba Ndiye mwenyeji.

Ruvu shooting Mechi Ni yako upo nyumbani, unaipeleka Benjamin Mkapa saa 1 usiku,

Je ungecheza na Ihefu, au kina Mtibwa ungeipeleka Taifa, Tena saa 1 usiku?

Kama mapato, mikoani ndipo kwenye mapato mengi,

Nikionacho ,Simba hataki kuachwa nyuma na Yanga na Azam, kaamua kuingia front kumaliza Mechi nje ya uwanja.

Ruvu shooting atakuwa kaulizwa akipeleka Mechi mkoani kwenye mvua kipindi hiki anatarajia mapato kiasi gani,? Kapewa Mzigo , kaleta Mechi Taifa saa 1 usiku, automatically Simba kawa Ndiye mwenyeji ,na ruvu shooting kabaki mwenyeji kwenye makaratasi.

Ruvu shooting mnaenda kushuka daraja kwa tamaa zenu .

Mechi yenu mnapangiwa uwanja na muda wakucheza na Simba., nachelea kusema Simba ameimaliza Mechi nje ya uwanja.

Mngekuwa mnacheza na kibonde mwenzenu ,mngeipeleka Uhuru au mikoani ,na mngeicheza saa 10 jioni.

Simba alitambua mnataka kuipeleka Mechi Mkoani ,na Sasa Kuna mvua , hivo angedondosha point , na kuzidi kumpa wigo mpana Yanga kutangaza ubingwa.
 
Sijaona ushahidi hapa maana naona wameileta kwa mkapa ili wapige hela.
 
Haijalishi ,wangecheza na ihefu wangeileta Taifa saa 1 usiku?
Tangu Azam waanze kuonesha mechi za Simba SC au Utopolo hususani uwanja wa Mkapa, ulishaona lini mechi zikacheza saa 8 au 10?

Narudia tena, usiwalaumu Ruvu. Maumivu uliyo nayo muone daktari haraka kabla ijawa too late.
 
Usisahau kutumia paracetamol, inapunguza homa na maumivu.
 
Viongozi wa ruvu shooting mmekula muamala mkitegemea mtabaki ligi kuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa akili hizo hizo ulizo nazo thibitisha kwamba mechi ya tarehe 3/10/2022 ya Ruvu shooting akiwa mwenyeji dhidi ya yanga haikuchezwa hapo kwa Mkapa. Utopolo hovyo sana.
 
Wanawake ukitaka kuwabandua huwa wanakupeleka gesti ya 3000 kama Kamwala, magetoni alikopanga au Serena.
Wanafanya hivyo kwa kuangalia mwonekano wa mwanaume na hadhi kwa jumla.
kwa hiyo alichofanya Ruvu, aliona mwanaume Simba sio wa kumpeleka nyumbani magetoni, kampeleka hotel ya maana tena usiku watoto wakiwa wamelala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…