hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
Hawa jamaa kimakaratasi wao ndio wenyeji, ila kiuhalisia Simba Ndiye mwenyeji.
Ruvu shooting Mechi Ni yako upo nyumbani, unaipeleka Benjamin Mkapa saa 1 usiku,
Je ungecheza na Ihefu, au kina Mtibwa ungeipeleka Taifa, Tena saa 1 usiku?
Kama mapato, mikoani ndipo kwenye mapato mengi,
Nikionacho ,Simba hataki kuachwa nyuma na Yanga na Azam, kaamua kuingia front kumaliza Mechi nje ya uwanja.
Ruvu shooting atakuwa kaulizwa akipeleka Mechi mkoani kwenye mvua kipindi hiki anatarajia mapato kiasi gani,? Kapewa Mzigo , kaleta Mechi Taifa saa 1 usiku, automatically Simba kawa Ndiye mwenyeji ,na ruvu shooting kabaki mwenyeji kwenye makaratasi.
Ruvu shooting mnaenda kushuka daraja kwa tamaa zenu .
Mechi yenu mnapangiwa uwanja na muda wakucheza na Simba., nachelea kusema Simba ameimaliza Mechi nje ya uwanja.
Mngekuwa mnacheza na kibonde mwenzenu ,mngeipeleka Uhuru au mikoani ,na mngeicheza saa 10 jioni.
Simba alitambua mnataka kuipeleka Mechi Mkoani ,na Sasa Kuna mvua , hivo angedondosha point , na kuzidi kumpa wigo mpana Yanga kutangaza ubingwa.