Ruvu Shooting ni Barcelona ya Bongo

Ruvu Shooting ni Barcelona ya Bongo

Mario Kejob

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2020
Posts
441
Reaction score
536
Kwa kweli Ruvu Shooting mlionyesha kiwango cha juu sana kimchezo katika mechi yenu na UTO ila tu bahati mbaya ile red card iliwatoa mchezoni.

Na baada hapo ndipo UTO waka-take advantage ya number na matokeo ndio yakawa hivyo. Asanteni kwa kumbikiri Diara na sasa asubiri tu mimba za mapacha.

I was so impressed na mpira wenu mkubwa. Na nimeamini kweli nyie ni Barcelona ya Bongo na sio porojo.

Keep it up.
 
Kaka ruvu shooting ni zaidi ya Barcelona.

Barcelona timu mbovu kabisa.
 
Wale watoto wanaupiga mwingi mno tena bila kucheza rafu kama zile za biashara walipocheza na Simba, ni kati ya timu zilizojipanga sana
 
Wale watoto wanaupiga mwingi mno tena bila kucheza rafu kama zile za biashara walipocheza na Simba, ni kati ya timu zilizojipanga sana
Kweli mkuu na mwaka huu itampiga nyau tena
 
Back
Top Bottom