Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
Yeah kama MBWA alivyowachomekwa cha nguruwe mwaka juzi.Unaisifia kwasababu iliwaweka kimoja cha nguruwe mwaka jana eti.
Kweli mkuu na mwaka huu itampiga nyau tenaWale watoto wanaupiga mwingi mno tena bila kucheza rafu kama zile za biashara walipocheza na Simba, ni kati ya timu zilizojipanga sana