Mimi nimeandika Niki akisi hali ya Simba ilivyo Kwa sasa, kwakua wewe unaamini katika nafasi za timu basi Sina namna ya kupinga maoni Yako.Mkuu kweli unaifananisha Simba SC na Ruvu Shooting?!
Katika mechi 7 zilizopita, Ruvu kadroo 2 na kafungwa 5... Halafu unasema kwa recent form hawana tofauti, kweli?!
Katika msimamo wa ligi unajua Simba SC yupo wapi na Ruvu yupo wapi, alafu unakuja unasema wanafanana, kweli?!
Nikifiria kauli ya Msemaji wenu aliyekolokoloni kuhusu mashabiki na wanachama wa Yanga SC, naomba niishie hapa.
Mimi nimeandika Niki akisi hali ya Simba ilivyo Kwa sasa, kwakua wewe unaamini katika nafasi za timu basi Sina namna ya kupinga maoni Yako.
Kwa nn tusiseme fixed match? Au kwa vile timu lenu bovu lilitembezewa boli na Singida mkajua wataitembezea boli yanga wivu ukawajaa?
Na nyie mtalambwa tu jiandaeniSawa..!!! Ila usisahau Chama kutokuwepo kwake kwenye mechi za Simba athari yake ni kubwa kuliko huyo jamaa mwingine kwenye timu yake..!! Nyie bila Chama hamchomoki, mnalambwa tu
Timu bovu linacheza CAFcc (kombe la waliofeli)
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Msimu huu simba mbovu mnoMkuu kweli unaifananisha Simba SC na Ruvu Shooting?!
Katika mechi 7 zilizopita, Ruvu kadroo 2 na kafungwa 5... Halafu unasema kwa recent form hawana tofauti, kweli?!
Katika msimamo wa ligi unajua Simba SC yupo wapi na Ruvu yupo wapi, alafu unakuja unasema wanafanana, kweli?!
Nikifiria kauli ya Msemaji wenu aliyekolokoloni kuhusu mashabiki na wanachama wa Yanga SC, naomba niishie hapa.
Njoo pm nikwambieAnaejua sababu za kubadilishwa muda wa hii mechi tafadhali
Maana mwanzo walisema sakumi ila wakasogeza mbele mpaka samoja usiku
Niambie hapaNjoo pm nikwambie
Naona aibuNiambie hapa
Ngada for everibadeeWakishinda Yanga, bahasha tena huku nanyie mnafungwa na Yanga, mkishinda nyie mnajua..!! Kweli NGADA ni mbaya
Baambie baeleweNa nyie mtalambwa tu jiandaeni
Mtarokotea kunyavuBaambie baelewe
Na nyie mlipofungwa na Yanga, maelezo yalitoka kwa MwiguluBoli la maelekezo toka kwa mwigulu[emoji28]
Waliswma katoka berkane kafuliaKama Chama anarudi leo naamini Simba itaanza kucheza mpira mzuri, jamaa amekuwa mchezaji muhimu sana kwenye kikosi cha Simba SC.
Huko Yanga wote pamoja na wale wawili ni mapooza tupu.Mkuu kweli unaifananisha Simba SC na Ruvu Shooting?!