Ruvu Shooting, sikilizeni 'sauti ya ndani' ili kuepuka dhahama toka kwa Simba SC

Mkuu kweli unaifananisha Simba SC na Ruvu Shooting?!

Katika mechi 7 zilizopita, Ruvu kadroo 2 na kafungwa 5... Halafu unasema kwa recent form hawana tofauti, kweli?!

Katika msimamo wa ligi unajua Simba SC yupo wapi na Ruvu yupo wapi, alafu unakuja unasema wanafanana, kweli?!

Nikifiria kauli ya Msemaji wenu aliyekolokoloni kuhusu mashabiki na wanachama wa Yanga SC, naomba niishie hapa.
Mimi nimeandika Niki akisi hali ya Simba ilivyo Kwa sasa, kwakua wewe unaamini katika nafasi za timu basi Sina namna ya kupinga maoni Yako.
 
Mechi 3 zilizopita, Simba SC kashinda 2 drop 1 kabeba point 7 huku Ruvu kadroo 1 kafungwa 2 kaambulia point 1.

Simba SC tumpe tu heshima yake. Level aliyopo ni ya juu sana.
 
Anaejua sababu za kubadilishwa muda wa hii mechi tafadhali

Maana mwanzo walisema sakumi ila wakasogeza mbele mpaka samoja usiku
 
Mkuu kweli unaifananisha Simba SC na Ruvu Shooting?!

Katika mechi 7 zilizopita, Ruvu kadroo 2 na kafungwa 5... Halafu unasema kwa recent form hawana tofauti, kweli?!

Katika msimamo wa ligi unajua Simba SC yupo wapi na Ruvu yupo wapi, alafu unakuja unasema wanafanana, kweli?!

Nikifiria kauli ya Msemaji wenu aliyekolokoloni kuhusu mashabiki na wanachama wa Yanga SC, naomba niishie hapa.
Msimu huu simba mbovu mno
 
Huko Yanga wote pamoja na wale wawili ni mapooza tupu.
 
Back
Top Bottom