Ruvu Shooting watilia shaka Uraia wa Niyonzima.

Anselm

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
1,710
Reaction score
291
Club ya Ruvu Shooting imeitaka TFF kwa kushirikiana na Mamlaka husika kuchunguza uraia wa kiungo mchezeshaji wa Mabingwa watetezi Dar Young Africans Haruna Hakizimana Fadhili Niyonzima wakidai lazima atakuwa na chembechembe za ki'brazil.
Wakiongea na chanzo chetu cha habari pasipo kutaka kutajwa majina yao baadhi ya wachezaji waliokuwa kwenye kikosi kilichocheza na Mabingwa hao siku ya tarehe 10.11.2016 na kupoteza kwa magoli 2 - 1 wametaka uchunguzi huo ufanyike haraka iwezekanavyo na endapo itathibitika kweli kuwa ana asili ya Wa'brazil weusi basi achukuliwe hatua kali kwa kuudanganya uma kuwa yeye ni Mnyarwanda.
"Yule lazima atakuwa na asili ya Brazil,Mnyarwanda original hawezi kuwa na kipaji kile,achunguzwe" alisikika akilalama beki mmoja.
1478882405160.jpg
Kiungo Haruna Hakizimana Fadhili Niyonzima anayelalamikiwa na baadhi ya Wachezaji wa Ruvu Shooting.
 
uzi wa kwenye kahawa unauleta humu kweli??huna tofauti na yule shabik anaeitwa sembo
 
Hahaha
Kuna pacha wako wa simba
Saa hiv ametulia kweli, huwa mna kuwaga na mambo yana fanana
 
Upuuzi huo usituletee humu. Kama anakipaji hicho mbn hatukukiona kwa stand acha uzembe
 
Club ya Ruvu Shooting imeitaka TFF kwa kushirikiana na Mamlaka husika kuchunguza uraia wa kiungo mchezeshaji wa Mabingwa watetezi Dar Young Africans Haruna Hakizimana Fadhili Niyonzima wakidai lazima atakuwa na chembechembe za ki'brazil.
Wakiongea na chanzo chetu cha habari pasipo kutaka kutajwa majina yao baadhi ya wachezaji waliokuwa kwenye kikosi kilichocheza na Mabingwa hao siku ya tarehe 10.11.2016 na kupoteza kwa magoli 2 - 1 wametaka uchunguzi huo ufanyike haraka iwezekanavyo na endapo itathibitika kweli kuwa ana asili ya Wa'brazil weusi basi achukuliwe hatua kali kwa kuudanganya uma kuwa yeye ni Mnyarwanda.
"Yule lazima atakuwa na asili ya Brazil,Mnyarwanda original hawezi kuwa na kipaji kile,achunguzwe" alisikika akilalama beki mmoja.
View attachment 432634 Kiungo Haruna Hakizimana Fadhili Niyonzima anayelalamikiwa na baadhi ya Wachezaji wa Ruvu Shooting.

Mahaba mengine ya ' kipuuzi ' kweli! Mbona huo ' ujuzi ' wake na hizo ' sifa ' mnazompa siku Yanga ikicheza na Simba huyu huyu Niyonzima huwa hafurukuti kwa lolote wala chochote kwa ' Fundi ' na ' Mtaalam ' wa ' dimba ' la kati kwa sasa nchini Tanzania Jonas Gerald Mkude na mara kwa mara amekuwa ' akitolewa ' kwa kuushindwa mchezo.
 
Uyo mkude ana goli ngapi

mechi na African lyon +Wajelajela/prison hakucheza nini

Kuna kiungo wa Mbeya city ni fundi sana sema(Alfa) sema wengi tunaangalia Timu za Dar tu
 
Back
Top Bottom