Anselm
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 1,710
- 291
Club ya Ruvu Shooting imeitaka TFF kwa kushirikiana na Mamlaka husika kuchunguza uraia wa kiungo mchezeshaji wa Mabingwa watetezi Dar Young Africans Haruna Hakizimana Fadhili Niyonzima wakidai lazima atakuwa na chembechembe za ki'brazil.
Wakiongea na chanzo chetu cha habari pasipo kutaka kutajwa majina yao baadhi ya wachezaji waliokuwa kwenye kikosi kilichocheza na Mabingwa hao siku ya tarehe 10.11.2016 na kupoteza kwa magoli 2 - 1 wametaka uchunguzi huo ufanyike haraka iwezekanavyo na endapo itathibitika kweli kuwa ana asili ya Wa'brazil weusi basi achukuliwe hatua kali kwa kuudanganya uma kuwa yeye ni Mnyarwanda.
"Yule lazima atakuwa na asili ya Brazil,Mnyarwanda original hawezi kuwa na kipaji kile,achunguzwe" alisikika akilalama beki mmoja.
Kiungo Haruna Hakizimana Fadhili Niyonzima anayelalamikiwa na baadhi ya Wachezaji wa Ruvu Shooting.