ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Unajiuliza simba hii hii ilioshinda kwa shida kagoli kamoja dhidi ya ihefu timu ya mwisho mkiani,inapata wapi ujasiri wa kuifunga Ruvu goli zote hizo?
Ruvu leo wapo kinyonge mno kila hali ikionyeshwa kuna biashara ishafanyika,wachezaji hawakabi,haya mfungaji wa goli la tatu Kapombe amecheza faul akikimbilia golini mtu kaangushwa kwa kiwiko refa kapeta
Yote haya kisa Yanga kashinda juzi goli 4 ati na sie tushinde!
Anyway mwisho wa siku maji na mafuta vitajitenga tusubiri.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app