Ruvu vs Simba Mechi Imekaa kimchongo Mno

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Unajiuliza simba hii hii ilioshinda kwa shida kagoli kamoja dhidi ya ihefu timu ya mwisho mkiani,inapata wapi ujasiri wa kuifunga Ruvu goli zote hizo?

Ruvu leo wapo kinyonge mno kila hali ikionyeshwa kuna biashara ishafanyika,wachezaji hawakabi,haya mfungaji wa goli la tatu Kapombe amecheza faul akikimbilia golini mtu kaangushwa kwa kiwiko refa kapeta
Yote haya kisa Yanga kashinda juzi goli 4 ati na sie tushinde!
Anyway mwisho wa siku maji na mafuta vitajitenga tusubiri.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaa! Inakuumizia sehem gani.?
 
Unavyosema Simba hii hii inamaanisha ile siku ya Ihefu Chama ulimuona Uwanjani
Hivi hujui kwamba leo Chama alikuwepo? ni kwa namna gani ulitegemea Ruvu kupona?
 
Unajiuliza simba hii hii ilioshinda kwa shida kagoli kamoja dhidi ya ihefu timu ya mwisho mkiani,inapata wapi ujasiri wa kuifunga Ruvu goli zote hizo?

Ruvu leo wapo kinyonge mno kila hali ikionyeshwa kuna biashara ishafanyika,wachezaji hawakabi,haya mfungaji wa goli la tatu Kapombe amecheza faul akikimbilia golini mtu kaangushwa kwa kiwiko refa kapeta
Yote haya kisa Yanga kashinda juzi goli 4 ati na sie tushinde!
Anyway mwisho wa siku maji na mafuta vitajitenga tusubiri.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app

Na nyie si mtakutana na hao ihefu halafu wapaki basi then muone kama ni rahisi hata kuwafunga hilo moja,muulizeni azam shughuli yake anaijua
 
Mechi zote mbili dhidi ya simba na azam ihefu hawakupaki basi na wakijaribu kujiachia vile dhidi ya yanga goli 5 zinawahusu
 
Goli la kwanza lilikuwa ni offside lakini magoli mengine ni halali kabisa katika mchezo. Tuache ushabiki wa ajabu.
 
Unajiuliza simba hii hii ilioshinda kwa shida kagoli kamoja dhidi ya ihefu timu ya mwisho mkiani,inapata wapi ujasiri wa kuifunga Ruvu goli zote hizo?

Ruvu leo wapo kinyonge mno kila hali ikionyeshwa kuna biashara ishafanyika,wachezaji hawakabi,haya mfungaji wa goli la tatu Kapombe amecheza faul akikimbilia golini mtu kaangushwa kwa kiwiko refa kapeta
Yote haya kisa Yanga kashinda juzi goli 4 ati na sie tushinde!
Anyway mwisho wa siku maji na mafuta vitajitenga tusubiri.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Pelekeni malalamiko yenu CAS.
 
Back
Top Bottom