ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Hahahahaa! Inakuumizia sehem gani.?Unajiuliza simba hii hii ilioshinda kwa shida kagoli kamoja dhidi ya ihefu timu ya mwisho mkiani,inapata wapi ujasiri wa kuifunga Ruvu goli zote hizo?
Ruvu leo wapo kinyonge mno kila hali ikionyeshwa kuna biashara ishafanyika,wachezaji hawakabi,haya mfungaji wa goli la tatu Kapombe amecheza faul akikimbilia golini mtu kaangushwa kwa kiwiko refa kapeta
Yote haya kisa Yanga kashinda juzi goli 4 ati na sie tushinde!
Anyway mwisho wa siku maji na mafuta vitajitenga tusubiri.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mwambie achomoe mwikoHahahahaa! Inakuumizia sehem gani.?
Unajiuliza simba hii hii ilioshinda kwa shida kagoli kamoja dhidi ya ihefu timu ya mwisho mkiani,inapata wapi ujasiri wa kuifunga Ruvu goli zote hizo?
Ruvu leo wapo kinyonge mno kila hali ikionyeshwa kuna biashara ishafanyika,wachezaji hawakabi,haya mfungaji wa goli la tatu Kapombe amecheza faul akikimbilia golini mtu kaangushwa kwa kiwiko refa kapeta
Yote haya kisa Yanga kashinda juzi goli 4 ati na sie tushinde!
Anyway mwisho wa siku maji na mafuta vitajitenga tusubiri.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mechi zote mbili dhidi ya simba na azam ihefu hawakupaki basi na wakijaribu kujiachia vile dhidi ya yanga goli 5 zinawahusuNa nyie si mtakutana na hao ihefu halafu wapaki basi then muone kama ni rahisi hata kuwafunga hilo moja,muulizeni azam shughuli yake anaijua
Pelekeni malalamiko yenu CAS.Unajiuliza simba hii hii ilioshinda kwa shida kagoli kamoja dhidi ya ihefu timu ya mwisho mkiani,inapata wapi ujasiri wa kuifunga Ruvu goli zote hizo?