Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Baada ya kumkamata polisi walipata ngapiBaada ya kukamatwa mtuhumiwa Jeshi la Polisi liliendelea na uchunguzi wa kina na kugundua kuwa huko maeneo ya NMB Tawi la Songea mtuhumiwa huyo alitapeli kiasi cha Tsh.35,265,000/= (Shilingi Milioni Thelathini na Tano, Laki mbili na Sitini na tano elfu) kwa mtumishi wa Benk akimdanganya kumuuzia mahindi kiasi cha gunia 400 ambazo alidai kuwa zipo Halmashauri ya Madaba na baada ya kuchukua pesa hizo alikimbia nazo mpaka tulipofanikiwa kumkamata.