Duuh! Maisha duni sana.CCM WAMEINGIA KWENYE MFUMO.
NO REFORM NO ELECTION.View attachment 3274096
Maisha duni kwa Watanzania ni sera madhubuti inayoratibiwa na CCM na katiba ya mwaka 1977.Duuh! Maisha duni sana.
Wakuu,
Diwani wa Kata ya Mshangano, Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, Samwel Mbano ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo kwa maslahi mapana ya serikali inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mbano amesema hayo akizungumza na waandishi wa habari na kutoa taarifa ya maendeleo kwenye kata yake, bila kushirikisha uongozi wa chama hicho, CCM.
Akizungumza kwenye ofisi ya serikali ya kata ya Mshangano, Mbano alisema kuwa amefikia uamuzi wa kutoa tamko rasmi la kujiuzulu uongozi wake wa udiwani katika kata hiyo, kulinda heshima ya CCM.
Pia amesema analinda heshima ya serikali na kwamba yeye atabaki kuwa mwanachama wa kawaida wa CCM.
‘’Kuna shuguhuli ambazo nilizifanya za kuwaita waandishi wa habari, bila kushirikisha viongozi wangu wa serikali na chama, kwa hiyo na hili na taratibu zingine zimefanyika hivyo nimeona ni vyema nijiuzuru, ili taratibu zingine ziendelee kufanyika za maendeleo ya kata ya mshangano na si vinginevyo,‘’ alisema Mbano.
Mbano ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea alisema kuwa akiwa na akili timamu ameamua kuachia nafasi hiyo na kuiacha wazi.
Amesema kwa kuwa anafahamu kuwa alichofanya kilikuwa ni kinyume na kanuni za CCM kutembelea miradi ya maendeleo ya kata akiwa na kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda, ambaye kabla yake alitangaza kuwania kuchukuwa fomu ya kugombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Amesema kuwa kada huyo wa CHADEMA, Mapunda, katika hali isiyo ya kawaida alipongeza jitihada za serikali za kupeleka miradi mbalimbali ya maendeleo kwenye Kata ya Mshangano, ikiwamo ya ujenzi wa shule za sekondari, msingi, Chuo cha Afya, umeme na miundombinu ya barabara jambo ambalo linaonekana kuleta shida hiyo.
Katibu wa CCM Wilaya ya Songea Mjini, Jemes Mgego, amekiri kupokea barua ya kujiuzulu kwa diwani huyo, amesema kwamba kwa sasa hawezi kuongea zaidi kwa kuwa jambo hilo linahitaji maamuzi zaidi kutoka kwa uongozi wa CCM Mkoa
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Wilaya ya Songea Mjini, Joakim Komba, amesema kuwa amepokea taarifa ya kujiuzulu kwa Mbano, lakini bado mbele kuna kazi kubwa ya kuona namna gani ya kusukuma maendeleo ya kata hiyo.
Amesema kata hiyo ipo chini ya Mbunge wa Songea Mjini, Dk. Damas Ndumbaro, ambaye ni diwani namba moja wa halmshauri hiyo, mpaka taratibu zitakapofanyika za uchaguzi mkuu ujao.
Katibu wa Baraza la Madwiani wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea, Silvesta Mhagama, ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Mji Mwema, alisema amepokea taarifa hizo kwa masikitiko makubwa, lakini hakuna namna.
Amesema maamuzi aliyofanya anajua yeye mwenyewe, hivyo amewataka madiwani wengine kuwa watulivu na waendelee kutekeleza Ilani ya CCM, kwa kuweka bayana miradi ya maendeleo kwenye kata zao.
Source: Nipashe
Yeah, Sasa inaendelea kupitia kupigwa tone tone linaloelekea kusikojulikana.Maisha duni kwa Watanzania ni sera madhubuti inayoratibiwa na CCM na katiba ya mwaka 1977.
Hapa kuna kitu hakisemwi zimeandikwa porojo tu badala ya ukweli wa mambo.Wakuu,