Ruvuma: Erick Turuka (23) amuua kikatili mpenzi wake kisa amemkatalia kumuoa

Ukitaka kuoa ukachumbia binti akakukubalia vuta subra kwamza usifanye haraka kuna utapeli. Chunguza kama ana mchumba mwingine. Usianze kuhudumia kwanza utakula hasara halafu uumize mtu au ujijidhuru mwenyewe. Pata elimu ya mahusiano ya mapenzi, uchumba na ndoa utaepukana na madhara yake
 
Mpaka nimeogopa mkuu mama yangu Jana kaniuliza kwanini sijaoa mpaka Leo, nikamwambia tatizo hela mama akasema wewe unahisi hela utazipata lini nikamwambia miaka mitano ijayo anasema ooh, hakuna hela inatosha kuoa

Nikamtolea mfano juzi demu wangu alikua na birthday akaomba nimsapoti pale pale nilikua nataka ni certify vyeti vyangu niviweke ajira portal nifanye application ambayo ilgharimu 32k ni kapiga chini, birthday ni kafanya mambo yangu bado na hapo nilkua nadaiwa 10k ya form ya driving nkalpa skumjali demu naona sahivi yupo kmya Sasa mwezi😂hanitafuti
 
Miaka 23 kijana umezaliwa mwaka wa 2002 unataka kuoa tena kwa nguvu!! Kama si ujinga ni nini hiki

Wavulana mna shida sana
 
Wao yakiwakumba huwa wanajipiga risasi au kupiga na wenzao wengine
Hakuna kiumbe salama kwenye hili eneo ni Mungu atangulie tu ni safari nzuri ila ukikosea uziba pancha mwanzo wa safari hadi mwisho wa safsri
 
Siyo kila mtu anakubali kuchezewa hisia zake,
Utakuta mwamba alijitoa kwa dem ohoooo

Ova
 
Wauza nyama za nguruwe ni katili jinsi wanavomkatakata yule mdudu mchafu Kwa mashoka na mapanga akaona afanye jaribio Kwa binadam
 
Hakuna kitu kinaniuma zaidi ya pesa ...mengine ya ziada
 
Kweli ujinga ni mzigo. Huyu lazima awe na changamoto ya afya ya akili mbali na ujinga. Tumshukuru mheshimwa rais daktari profesa SSH kuwa na watu kama hawa ambao wakigeuka chawa kidogo hupata imani na tumaini katika maisha.
 
Picha ya huyu jamaa tafadhali
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia kijana Erick Turuka (23) maarufu kama Keneth, ambaye ni muuza bucha la nyama ya nguruwe, kwa tuhuma za kumuua kikatili msichana wa kazi aitwaye Shukrani Ajiliwa (19), mkazi wa Namihoro, Songea Vijijini🥺🥺🥺🥺
Damu...!
 
Ukila na kuuza Nguruwe, Kuna cku lazima utafanya vitu vya kustahajabisha kwenye jamii tu, acheni kula Nguruwe.
 
Ukila na kuuza Nguruwe, Kuna cku lazima utafanya vitu vya kustahajabisha kwenye jamii tu, acheni kula Nguruwe.
Na waache kula vya watu,kucheza hisia za watu...
Watu wengine vichaa ohoooo

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…