Pre GE2025 Ruvuma: Kada Chadema Atimkia ACT Wazalendo, adai Chama Hicho Hakina Malengo na Kimepoteza Dira

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Mzee wao wa Chama baada ya kuona Chama ni Cha Wachaga(Wakristo) amebidi atoe ya moyoni, unfortunately CCM sio chama Cha kidini ndio maana amepiuzwa.
 
Wadanganyika siku mkijitambua mtaelewa lakini itakuwa too late.

Mnapambana na chama badala ya kupambania Taifa na Utaifa wenu.

Nadhani ule ujumbe wa mfia dini Amesema kisiwani wote ni wa dini fulani watawala wameambiwa wafanye hangΔ™ kabla mfia msalaba hajachukua nchi. Kisiwani kuna dini zote sijui nini shida na wavisiwani.

Adui wa mdanganyika ni mdanganyika mwenyewe…
 
Chadema wamekuharibu
 
Chadema wamekuharibu
Sina chama
ukipitia post zangu utaona namna nawakosoa chadema.

Nalipenda Taifa langu sio chama chochote.

Tupo kukosoa na kubariki vyama vyote.

So usijifanye unajua kuliko wengine.

Grow up !

We have been here long enough dah!
 
Mwambie aende salama. Ng'ombe asiye na mkia
 
Mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe.. CHADEMA watabaki wenye akili na misimano thabiti
 
Huyo anaitwa fuime kashaliuza Jimbo la Songea mjin Kwa CCM awamu mbili tofauti.
 
Yaani CCM ikipata mwanachama toka CHADEMA inasheherekea kama vile timu ya ndondo imemsajili Kylian Mbape.

Jinsi CCM wanavyopata wazimu wa furaha mtu akitoka CHADEMA hadi inashangaza.

Sasa ACT nao wameingia kwenye mkumbo wa CCM.
 
Huyo jamaa namfahamu,anaitwa Fuime. Aligombea ubunge mwaka fulani akashinda. Baada ya kushinda akauza ubunge kwa kwa mgombea wa ccm alieshndwa mr Damas Ndumbalo.huyo ni mganga njaa kama kina Msigwa
 
Cha ajabu mnaongoza kuwateka chadema na kuwauwa. Mbona hamjawai kuwateka na kuwauwa chauma?.
Chauma hawajawahi wahi kutaka kuleta vurugu.
. Chadema ni wahuni tuu lazima washughulikiwe,Wameshindwa siasa Sasa wanataka walete vurugu,hawatapata nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…