Pre GE2025 Ruvuma: Kada Chadema Atimkia ACT Wazalendo, adai Chama Hicho Hakina Malengo na Kimepoteza Dira

Pre GE2025 Ruvuma: Kada Chadema Atimkia ACT Wazalendo, adai Chama Hicho Hakina Malengo na Kimepoteza Dira

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yaani CCM ikipata mwanachama toka CHADEMA inasheherekea kama vile timu ya ndondo imemsajili Kylian Mbape.

Jinsi CCM wanavyopata wazimu wa furaha mtu akitoka CHADEMA hadi inashangaza.

Sasa ACT nao wameingia kwenye mkumbo wa CCM.
Huyo kaenda ACT na sio CCM
 
Chauma hawajawahi wahi kutaka kuleta vurugu.
. Chadema ni wahuni tuu lazima washughulikiwe,Wameshindwa siasa Sasa wanataka walete vurugu,hawatapata nafasi.
Mnawauwa chadema sababu ndiyo wapinzani wa kweli na hiyo ni kawaida kwa ccm tokea vyama vingi vianze. Alafu mnasumbua polisi wa watu na nyinyi ndiyo mnaowayuma kuuwa. Jinga kabisa
 
Mnawauwa chadema sababu ndiyo wapinzani wa kweli na hiyo ni kawaida kwa ccm tokea vyama vingi vianze. Alafu mnasumbua polisi wa watu na nyinyi ndiyo mnaowayuma kuuwa. Jinga kabisa
Wahuni tuu hao
 
Back
Top Bottom