Ruvuma: Mamba aliyeua binadamu ageuzwa kitoweo

Ruvuma: Mamba aliyeua binadamu ageuzwa kitoweo

Baada ya tukio hilo wavuvi wa fukwe hizo kwa kushirikiana na askari wa jeshi la polisi na maliasili walifanya msako mkali katika maeneo ya ziwa hilo na kufanikiwa kumuua mamba huyo na wananchi walimfanya kitoweo.
Implication ni kwamba Ester Mapunda aliliwa na wananchi wenzake kupitia mamba
 
Kwa wazee wa mikeka hapo ngoma imetoa GG
 
  • Mamba amekula binadamu​
  • Mamba akapata vimelea vya binadamu​
  • Binadamu hali binadamu​
  • Binadamu amekula mamba​
  • Kwa hiyo, binadamu amekula mamba mwenye vimelea vya binadamu; ambayo ni sawa na binadamu amekula binadamu.​
 
Zile bucha za nyama pori za enzi zile za Kigwangala wizarani bado zipo hai kweli?
 
Jamii zinazokaa mwambao mwa ziwa au visiwani ndio zao hizo.
Hawana mabafu wala vyoo, wanaoga ziwani.wanajisaidia ziwani..ni watu wachafu sana.waume kwa wake.

Hawachemshi maji.wanayanywa hivyo hivyo.wana immunity kali sana...sasa jaribu wewe sasa...

Ziwa linavutia kuliona ukiwa mbali.
Ila ziwani kuna taka za kila aina...

Meli na vivuko zina vyoo.
Ila vyoo hivyo havitunzi vinyesi kama kwny ndege..vinyesi hupitiliza moja kwa moja majini.
 
Back
Top Bottom