Mshangazi mdogomdogo
Member
- Sep 23, 2024
- 64
- 43
Shangazi watakuwa wamembabua vya kutosha mpaka amepata wenge! Eti Ruvuma manispaa!Acha majungu kunywa pombe.
Halafu Ruvuma manispaa ndio wapi huko?
Acha majungu kunywa pombe.
Halafu Ruvuma manispaa ndio wapi huko
Njoo Ruvuma alafu uliza manispaa uone unapelekwa wapiAcha majungu kunywa pombe.
Halafu Ruvuma manispaa ndio wapi huko?
Hahaha, Ruvuma tuna manispaa au hujuiShangazi watakuwa wamembabua vya kutosha mpaka amepata wenge! Eti Ruvuma manispaa!
Hahaha Kama ulikuwepoDaah wanywa Pepsi bhana wasumbufu sana hapo ukute umewaambia wakupe chenji yako ya soda wamekataa ukaamua kumwaga mboga kabisaa..
Manispaa ipi iyo 😂Hahaha, Ruvuma tuna manispaa au hujui
Ndiyo inaitwa Ruvuma Manispaa?Hahaha, Ruvuma tuna manispaa au hujui
Ruka majoka mkuu huku umenyanyua lita ya komoni juujuu.Ijiumaa hii mpaka Muda huu Saa nane kasoro usiku nipo hapa Chantabull na hakuna mpango wowote wa kufunga mageti.
Nina uhakika Hamna night club yenye kibali hapa Manispaa, basi muwaambie wenye Baa zinazotoa rushwa waheshimu Mamlaka.
Maliza maadhimisho ya Siku ya Ukimwi urudi kwenu tuachie Chantabull yetu!Ijiumaa hii mpaka Muda huu Saa nane kasoro usiku nipo hapa Chantabull na hakuna mpango wowote wa kufunga mageti.
Nina uhakika Hamna night club yenye kibali hapa Manispaa, basi muwaambie wenye Baa zinazotoa rushwa waheshimu Mamlaka.
Songea, umeridhika?zingatia madaManispaa ipi iyo 😂
Hakuna manispaa ya ruvuma punguza kukesha akiri inachoka.katika mkoa wa ruvuma kuna manispaa moja ya songea.inaitwa songea manispaa.Hahaha, Ruvuma tuna manispaa au hujui
Kwani umeambiwa zipo mbili? Na inaitwa manispaa ya Songea Na sio Songea manispaa labda tubailishe lugha, Unajichanganya na Nina akili sio akiriHakuna manispaa ya ruvuma punguza kukesha akiri inachoka.katika mkoa wa ruvuma kuna manispaa moja ya songea.inaitwa songea manispaa.
We bata wahidi .tunarekebisha hilo fuvu lako.kuwa hakuna manispaa ya ruvuma😂 sema asante kwa kukufungua fuvu.uweunashukuru hata kwa hichoKwani umeambiwa zipo mbili? Na inaitwa manispaa ya Songea Na sio Songea manispaa labda tubailishe lugha, Unajichanganya na Nina akili sio akiri