KERO Ruvuma Manispaa: Sehemu za Starehe wanapiga muziki bila kuwa na kibali

KERO Ruvuma Manispaa: Sehemu za Starehe wanapiga muziki bila kuwa na kibali

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Naona umekuwa popo..😂...
Mida ya Wanga hii. Kalale.
 
Acha majungu kunywa pombe.

Halafu Ruvuma manispaa ndio wapi huko?
 
Daah wanywa Pepsi bhana wasumbufu sana hapo ukute umewaambia wakupe chenji yako ya soda wamekataa ukaamua kumwaga mboga kabisaa..
 
Ijiumaa hii mpaka Muda huu Saa nane kasoro usiku nipo hapa Chantabull na hakuna mpango wowote wa kufunga mageti.

Nina uhakika Hamna night club yenye kibali hapa Manispaa, basi muwaambie wenye Baa zinazotoa rushwa waheshimu Mamlaka.
Ruka majoka mkuu huku umenyanyua lita ya komoni juujuu.
NB;Kelele/sauti ya juu ya myuziki/musique/muziki/mziki/music inakera sana hasa kwa mtu ambaye hapati pombe.Kill all those bastards!
 
Ijiumaa hii mpaka Muda huu Saa nane kasoro usiku nipo hapa Chantabull na hakuna mpango wowote wa kufunga mageti.

Nina uhakika Hamna night club yenye kibali hapa Manispaa, basi muwaambie wenye Baa zinazotoa rushwa waheshimu Mamlaka.
Maliza maadhimisho ya Siku ya Ukimwi urudi kwenu tuachie Chantabull yetu!
 
Hakuna manispaa ya ruvuma punguza kukesha akiri inachoka.katika mkoa wa ruvuma kuna manispaa moja ya songea.inaitwa songea manispaa.
Kwani umeambiwa zipo mbili? Na inaitwa manispaa ya Songea Na sio Songea manispaa labda tubailishe lugha, Unajichanganya na Nina akili sio akiri
 
Kwani umeambiwa zipo mbili? Na inaitwa manispaa ya Songea Na sio Songea manispaa labda tubailishe lugha, Unajichanganya na Nina akili sio akiri
We bata wahidi .tunarekebisha hilo fuvu lako.kuwa hakuna manispaa ya ruvuma😂 sema asante kwa kukufungua fuvu.uweunashukuru hata kwa hicho
 
Back
Top Bottom