LGE2024 Ruvuma: Mgombea wa ACT akamatwa kwa tuhuma za uchochezi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

1732617596772.png

Mjumbe wa kamati ya uongozi ya chama cha ACT Wazalendo jimbo la Tunduru Kaskazini mkoani Ruvuma, ambaye pia ni mgombea wa uenyekiti wa chama hicho kwenye kitongoji cha Maholela, Mohamed Kapopo amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi.

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Inaelezwa kuwa Polisi wamemkamata Kapopo wakati wa zoezi la kula kiapo cha uwakala na hawajakubali kumpa nafasi ya kuapishwa.

Maneno anayotuhumiwa kuwa ni ya uchochezi Kapopo ni kuwa 'Mwizi yoyote wa kura atashughulikiwa.'
 
Mjumbe wa kamati ya uongozi ya chama cha ACT Wazalendo jimbo la Tunduru Kaskazini mkoani Ruvuma, ambaye pia ni mgombea wa uenyekiti wa chama hicho kwenye kitongoji cha Maholela, Mohamed Kapopo amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi.

Inaelezwa kuwa Polisi wamemkamata Kapopo wakati wa zoezi la kula kiapo cha uwakala na hawajakubali kumpa nafasi ya kuapishwa.

Maneno anayotuhumiwa kuwa ni ya uchochezi Kapopo ni kuwa 'Mwizi yoyote wa kura atashughulikiwa.'

IMG_0946.jpeg
 
Kwa mwizi wa kura hapaswi kushunghulikiwa? Uchochozi upo wap hapo?
 
Back
Top Bottom