Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Kama kuna sehemu Watanganyika tunapigwa basi ni kwenye hiyo michezo ya kubahatishaAisee huyo mchina wamshughulikie vilivyo.
Anaenda kuwafundisha kamari wakulima, pumbavu sana.
Mwaka uliopita serikali kupitia kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na biashara Selemani Jafo ilitoa waraka wa kupiga marufuku kwa machinga wa kigeni, madalali, mamalishe, babalishe waendesha biashara za "kamari dubwi" na wengine wa aina hiyo.Sitasahau 2014 tulipokamatwa kwa tuhuma kama hizo hizo
Kinachofanyika ni michezo ya ndani.. Iko hivi
Sasa hivi kuna wachini wamemonopolize hiyo biashara.. Hakuna mwingine anayeruhusiwa kufanya bali kupitia kwao
Sasa mchina yeyote anayetaka kufanya anawalipa wao kisha wao ndio wanailipa serikali
Akishawalipa wao wanampa lets say mashine 20 zinazotambulika na serikali kwa maana ya kulipiwa kodi.. Halafu anaongezewa nyingine 20 ama zaidi zisizo na stika, kwa maana ya kwamba hizo hazilipiwi kodi
Sasa wana makubaliano kabisa kwamba akikamatwa amalize mwenyewe
Akili MTU wangu, jafo alikuwa anafanya siasa TU 😂 aki wadanganya raiaMwaka uliopita serikali kupitia kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na biashara Selemani Jafo ilitoa waraka wa kupiga marufuku kwa machinga wa kigeni, madalali, mamalishe, babalishe waendesha wa biashara za "kamari dubwi" na wengine wa aina hiyo.
Cha kushangaza hata baada ya katazo hilo bado tunaona Dubwi za wachina zinaendelea, tatizo nini?
Kutokana na andiko lako hapo juu yaonyesha wewe ni mdau kwenye eneo hilo.Kama kuna sehemu Watanganyika tunapigwa basi ni kwenye hiyo michezo ya kubahatisha
Kiuhalisia ma shine moja inatakiwa ile 70% na 30% inayobaki ni zawadi za washindi na kodi za serikali.. Lakini nyingi zimechezewa zinakula mpaka 85% na 15 inayobaki ndio zawadi na kodi
Tatizo ni moja tuu RUSHWA! na kukosa uzalendoMwaka uliopita serikali kupitia kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na biashara Selemani Jafo ilitoa waraka wa kupiga marufuku kwa machinga wa kigeni, madalali, mamalishe, babalishe waendesha wa biashara za "kamari dubwi" na wengine wa aina hiyo.
Cha kushangaza hata baada ya katazo hilo bado tunaona Dubwi za wachina zinaendelea, tatizo nini?
Nilifanya hiyo kazi mwaka mzima na nilikusanya taarifa za kutosha sana na hao ndugu wamegawana maeneo kwenye hii nchi utadhani wako kwaoKutokana na andiko lako hapo juu yaonyesha wewe ni mdau kwenye eneo hilo.
Sisi kama nchi tunakwama wapi kudhibiti ubadhirifu huo?
Vipi kuhusu Casino kubwa kama vile Le Grand Casino, Princess Casino, Sea Cliff Casino, Macau nk wanatenda haki kwa gumbler wao?Nilifanya hiyo kazi mwaka mzima na hao ndugu wamegawana maeneo kwenye hii nchi utadhani wako kwao
Same moduleVipi kuhusu Casino kubwa kama vile Le Grand Casino, Princess Casino, Sea Cliff Casino, Macau nk wanatenda haki kwa gumbler wao?
Nchi imejaa janja janja kila sehemu.Same module
Na hizi zote zisizo na usajili zinapelekwa kwa wakulima kijijini waliwe pesa za mazaoSitasahau 2014 tulipokamatwa kwa tuhuma kama hizo hizo