Pre GE2025 Ruvuma: Wananchi Watakiwa Kupuuza Maneno ya Wanasiasa Wanaodai Kutumwa na Viongozi wa CCM" kuja kugombea

Pre GE2025 Ruvuma: Wananchi Watakiwa Kupuuza Maneno ya Wanasiasa Wanaodai Kutumwa na Viongozi wa CCM" kuja kugombea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Wananchi mkoa wa Ruvuma wametakiwa kupuuza maneno ya baadhi ya wanasiasa wanaotumia majina ya viongozi wa juu wa Chama cha Mapinduzi, kuwarubuni na kuwaambia kuwa wametumwa kuja kugombea nafasi za ubunge na udiwani badala yae wasubiri wakati wa kampeni kuchagua watu sahihi.

Soma Pia: Ruvuma: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Back
Top Bottom