Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Hahaha! Inatafakarisha kuona unajiongelea mwenyewe kwenye description yako.Afrika haiendelei sababu ya[emoji116]
Wivu
Unafiki
Imani za kishenzi
Ushirikina
Acha wamzike tu kama kweli huyo mzee alikuwa mshirikina alitakiwa kufukiwa shimo kimo cha kisima ama atupwe kwenye mto wenye mamba afie huko, sio ajabu hawa washirikina ni waaribifu sana wa maisha ya watu, serikali ingekuwa inaamini hizi mambo basi ingefungua mahabusu kwaajili ya hawa walozi