JanguKamaJangu JF-Expert Member Joined Feb 7, 2022 Posts 2,780 Reaction score 6,607 Jul 12, 2023 #1 Your browser is not able to display this video. Familia ya wazazi waliomuozesha mwanafunzi wa kidato cha tano kwa mahari ya shilingi elfu 30 wilayani Tunduru - Ruvuma wameungana kuomba radhi ili Serikali iwasamehe kwa kitendo walichokifanya kwa madai kuwa walikuwa hawajitambui. Pia Soma: Mwanafunzi wa Kidato cha Tano aolewa kwa Tsh. 30,000 DC Mtatiro aingilia kati na kuvunja ndoa
Your browser is not able to display this video. Familia ya wazazi waliomuozesha mwanafunzi wa kidato cha tano kwa mahari ya shilingi elfu 30 wilayani Tunduru - Ruvuma wameungana kuomba radhi ili Serikali iwasamehe kwa kitendo walichokifanya kwa madai kuwa walikuwa hawajitambui. Pia Soma: Mwanafunzi wa Kidato cha Tano aolewa kwa Tsh. 30,000 DC Mtatiro aingilia kati na kuvunja ndoa