Nilikuwa naangalia mechi kwa kweli yale matokeo ya tatu mbilinaona yamebadilika inaonyesha mpaka dk ya 70 tumefungwa 2 kwa moja na niyonzima akiwa ametushindilia bao moja bila kuwa mzalendo..so ukiwa kama mtanzania omba hizi dk 30 mungu wako atusaidie turudishe hata tutoke draw
kila la kheri taifa stars

Siku ikipita bila kuitaja Man utd, nadhani siku hiyo utakuwa una hangover kali.wapigwe hata 6 kama man utd