Rwanda 2- taifa stars 1 today match

Rwanda 2- taifa stars 1 today match

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Nilikuwa naangalia mechi kwa kweli yale matokeo ya tatu mbilinaona yamebadilika inaonyesha mpaka dk ya 70 tumefungwa 2 kwa moja na niyonzima akiwa ametushindilia bao moja bila kuwa mzalendo..so ukiwa kama mtanzania omba hizi dk 30 mungu wako atusaidie turudishe hata tutoke draw

kila la kheri taifa stars
 
Kwani huu mchezo unachezwa dk 100?
 
bora vijana wafungwe warudi tudai kujenga misingi ya mambo yote kwa kudai katiba mpya.
 
Nilikuwa naangalia mechi kwa kweli yale matokeo ya tatu mbilinaona yamebadilika inaonyesha mpaka dk ya 70 tumefungwa 2 kwa moja na niyonzima akiwa ametushindilia bao moja bila kuwa mzalendo..so ukiwa kama mtanzania omba hizi dk 30 mungu wako atusaidie turudishe hata tutoke draw

kila la kheri taifa stars

Acha upotoshaji mechi haijaanza hadi saa 10, hasira zenu za kisiasa mnazileta hadi mpirani? DUA LA KUKU HALIMPATI MWEWE!
 
duh rwanda wanapata bao hapa RWANDA 1 TANZANIA 0
 
Back
Top Bottom