Rwanda follows Kenya's Footstep In The English Premier League

Boss marketing sio kuweka adverts kwa displays pekee, kuna njia mob sana za marketing. Hata CSR hua part of marketing kama hujui. Jifunze mengi mkuu.
dont waste ur energy with that dude...masomo naona iko limited kidogo...
 
Boss marketing sio kuweka adverts kwa displays pekee, kuna njia mob sana za marketing. Hata CSR hua part of marketing kama hujui. Jifunze mengi mkuu.
Haitangaz chochote kuhusu Kenya, unaelewa sijui?? Haitangaz chochote kuhusu Kenya

Wapo Tanzania huku, Wanadhamini Simba, Yanga na Singida United, zaid ya betting campaign hakuna kitu cha Kenya wanacho tangaza,

Tunatumia Website pamoja na App ya kwetu ambayo nyinyi kenya hamtumii, south Africa wana website pamoja na app yao ambayo sisi na nyinyi Kenya hamtimii, Same thing kwa UK, wanajitangaza kama kampuni iliyoko kwenye taifa husika

Ni kama Leo hii Azam Media ilivyo Uganda au Burundi au Rwanda au Zimbabwe au nk, inajitangaza kama Media ya huko huko, haitangaz chochote kuhusu Tanzania labda ile kandarasi kutoka wizara ya utalii

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
we una matatizo ya kiakil au? hivi unajua maana ya CSR...corporate social responsibility? kisha HUll City wakipokuwa Nairobi national park mwezi huu kwa hisani ya sportoesa hio sio kuitangaza nchi? duh! kazi ipo kweliπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€siku hio hio hashtag ya Hullcityinkenya ili trend duniani kote kwenye mtandao wa Twitter na mapicha ya wildlife ya kenya..
mfano mwingine sportepsa ili sponsor fans wa hull city waje Kenya kujivinjari

Hull City Fans Say Kenya Is Heaven On Earth In Weeklong Country Tour

ama hii pia ni betting? just see ur brain
 
we una matatizo ya kiakil au? hivi unajua maana ya CSR...corporate social responsibility? kisha HUll City wakipokuwa Nairobi national park mwezi huu kwa hisani ya sportoesa hio sio kuitangaza nchi? duh! kazi ipo kweliπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hull city wanakuja mara moja, tena wanaweza wasije tena, by the way, ni media gani zilireport??

Weka tangazo uwanja kule au kwenye Jersey linalo husu Kenya Kama Rwanda walivyo fanya au Sisi tulivyo fanya, tofaut na hapo huna haki ya kuikosoa Tanzania, ilikwisha fanya hvyo miaka 8 iliyopita, kwenye viwanja 5 tofaut
 

Hull City Fans Say Kenya Is Heaven On Earth In Weeklong Country Tour

KBC

Hull City beats Gor Mahia in spot kicks to win the bragging rights of Hull City Challenge
wewe itakuwa una matatizo ya kiakili anyway

hapoa wapo nairobi national park

hapa wapo giraff centre

hapa wako kasarani kenya
 
if this is not selling kenya then I dont know what is
 
Naona the star na standard zote ni KE, ndio maana taarifa haikuweza kutufikia hata sisi majiran

Private owned company, kuna mtu anataka kuifanya kampuni ya kitaifa, lion reduced to scavenger [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naona the star na standard zote ni KE, ndio maana taarifa haikuweza kutufikia hata sisi majiran

Private owned company, kuna mtu anataka kuifanya kampuni ya kitaifa, lion reduced to scavenger [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kazi ipo kweliπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€sijui lugha ndio ngumu au..anyway, umeshinda bas..spotpesa hawaitangazi nchi..
 
kazi ipo kweliπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€sijui lugha ndio ngumu au..anyway, umeshinda bas..spotpesa hawaitangazi nchi..
https://www.google.com/url?sa=t&sou...NMAw&usg=AOvVaw0rM1YltiQ9wzYQEHm07Tnn&ampcf=1

Tulisha fanya haya 2014

tukafanya tena 2013, Sunderland vs Liverpool

Mnacho fanya n marudio


sinaga tabia ya kuja bishana na nyie hapa, ila leo nimeamua tu kuja mara moja na nitapotea, mmekua mki exaggerate sana mambo, bahati mbaya watu wengine mnao bishana nao taarifa sahihi wakati mwingine wanakua hawana, na hata leo nisingekuja hapa ingeonekana n kweli Rwanda kafuata nyayo za Kenya, na TZ ingeonekana wazembe, kumbe Rwanda na Kenya wote wamefuata hatua kwa Tanzania

by the way, I'm happy, Rwanda (anatokea baba) Tanzania (anatokea mama) , ni nchi zangu zote mbili
 
hahaha just see ur brain...kenya ikafata tanzania tangu lini ama hivyo ndivyo mnavyo danganywa humo kwenu? sportpesa ku sponsor everton au hull city haimaanishi wanawaiga...
 
hahaha just see ur brain...kenya ikafata tanzania tangia lini ama hivo ndivyo mnadanganywa humo kwenu?
Tumefanya 2010 throughout the season, tangazo lilionekana kwenye jumla ya michezo 114,

Nyinyi mlikua mmefanya kabla ya hapo? jibu n hapana

Tukafanya tena 2013, bado hamkua mmefanya, tukafanya tena 2014 bado hamkua mmefanya,

Hata mpk leo hii as a nation/wizara husika bado hamjafanya

Zanzibar walifanya 2014

Rwanda imefanya leo... Kenya kafanya Sportpesa (Lion reduced to scavenger)

kwamba mmeshindwa kupata ka space ka matangazo pale uwanjani?? be serious jo


Mjifunze kupitia kwetu

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
But mbona Tz ina advertise huko huko Kwenye epl league ..kama mtu ni mfwatiliaji bora atakuwa kashaona
 
Azam media wana mkataba wa kurusha matangazo ya laliga, lugha ya kiswahil imeongezwa kule, kuanzia msimu ujao tutapata matangazo live from Spain kwa lugha ya kiswahil...

We should be proud ni kampun ya kitanzania imefanya haya, lakn siwez nikaifanya sub ya taifa, yani taifa lishindwe kusimama sehemu fulan, kampuni binafsi ifanye hvyo tujivunie kana kwamba ni taifa limefanya, yanawezekana Kenya tu hayo

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
I retire from the debate...
 
napenda jinsi rwanda wanavojikakamua...kuna jamaa wengine ldc wavivu kupindukia staki wataja...always lazying around...sportpesa should now go for big clubs like barca, man u or chelsea if they can affordπŸ˜€πŸ˜€

Those are the dividends of being open minded. Rwanda learning fast from the best-Kenya!
 
Newcastle United, Blackburn Rovers, Stok, WBA and Sunderland

mwaka 2010 hiyo, mmeenda juz tu hapo tena sio nyie ni kampun binafsi (sport pesa) tofaut na sisi na Rwanda View attachment 784339
Tatizo la wakikuyu wanaisi dunia inazungukia kwao tu. Sisi tulisha fanya hizo adverts zamani sana. Yeye anatuletea private company ya sports pesa wakati sisi ilikuwa ni utalii kwenye premier league. Hizi mbuzi aliye waloga alisha kufaπŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…