Boss marketing sio kuweka adverts kwa displays pekee, kuna njia mob sana za marketing. Hata CSR hua part of marketing kama hujui. Jifunze mengi mkuu.Hakuna wanacho market kinacho husu Kenya, it's all about betting
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss marketing sio kuweka adverts kwa displays pekee, kuna njia mob sana za marketing. Hata CSR hua part of marketing kama hujui. Jifunze mengi mkuu.Hakuna wanacho market kinacho husu Kenya, it's all about betting
umeshindwa kuamini??tulia...😀😀😀😀😀wacha jokes ndugu..sawa?
asa ndo umepost nini??
dont waste ur energy with that dude...masomo naona iko limited kidogo...Boss marketing sio kuweka adverts kwa displays pekee, kuna njia mob sana za marketing. Hata CSR hua part of marketing kama hujui. Jifunze mengi mkuu.
Haitangaz chochote kuhusu Kenya, unaelewa sijui?? Haitangaz chochote kuhusu KenyaBoss marketing sio kuweka adverts kwa displays pekee, kuna njia mob sana za marketing. Hata CSR hua part of marketing kama hujui. Jifunze mengi mkuu.
we una matatizo ya kiakil au? hivi unajua maana ya CSR...corporate social responsibility? kisha HUll City wakipokuwa Nairobi national park mwezi huu kwa hisani ya sportoesa hio sio kuitangaza nchi? duh! kazi ipo kweli😀😀😀😀siku hio hio hashtag ya Hullcityinkenya ili trend duniani kote kwenye mtandao wa Twitter na mapicha ya wildlife ya kenya..Haitangaz chochote kuhusu Kenya, unaelewa sijui?? Haitangaz chochote kuhusu Kenya
Wapo Tanzania huku, Wanadhamini Simba, Yanga na Singida United, zaid ya betting campaign hakuna kitu cha Kenya wanacho tangaza,
Tunatumia Website pamoja na App ya kwetu ambayo nyinyi kenya hamtumii, south Africa wana website pamoja na app yao ambayo sisi na nyinyi Kenya hamtimii, Same thing kwa UK, wanajitangaza kama kampuni iliyoko kwenye taifa husika
Ni kama Leo hii Azam Media ilivyo Uganda au Burundi au Rwanda au Zimbabwe au nk, inajitangaza kama Media ya huko huko, haitangaz chochote kuhusu Tanzania labda ile kandara kutoka wizara ya utalii
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Hull city wanakuja mara moja, tena wanaweza wasije tena, by the way, ni media gani zilireport??we una matatizo ya kiakil au? hivi unajua maana ya CSR...corporate social responsibility? kisha HUll City wakipokuwa Nairobi national park mwezi huu kwa hisani ya sportoesa hio sio kuitangaza nchi? duh! kazi ipo kweli😀😀😀😀
Hull city wanakuja mara moja, tena wanaweza wasije tena, by the way, ni media gani zilireport??
Weka tangazo uwanja kule au kwenye Jersey linalo husu Kenya Kama Rwanda walivyo fanya au Sisi tulivyo fanya, tofaut na hapo huna haki ya kuikosoa Tanzania, ilikwisha fanya hvyo miaka 8 iliyopita, kwenye viwanja 5 tofaut
Naona the star na standard zote ni KE, ndio maana taarifa haikuweza kutufikia hata sisi majiranHull City Fans Say Kenya Is Heaven On Earth In Weeklong Country Tour
Hull City beats Gor Mahia in spot kicks to win the bragging rights of Hull City Challenge
wewe itakuwa una matatizo ya kiakili anyway
![]()
hapoa wapo nairobi national park
![]()
hapa wapo giraff centre
![]()
hapa wako kasarani kenya
![]()
![]()
![]()
kazi ipo kweli😀😀😀sijui lugha ndio ngumu au..anyway, umeshinda bas..spotpesa hawaitangazi nchi..Naona the star na standard zote ni KE, ndio maana taarifa haikuweza kutufikia hata sisi majiran
Private owned company, kuna mtu anataka kuifanya kampuni ya kitaifa, lion reduced to scavenger [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
https://www.google.com/url?sa=t&sou...NMAw&usg=AOvVaw0rM1YltiQ9wzYQEHm07Tnn&cf=1kazi ipo kweli😀😀😀sijui lugha ndio ngumu au..anyway, umeshinda bas..spotpesa hawaitangazi nchi..
![]()
hahaha just see ur brain...kenya ikafata tanzania tangu lini ama hivyo ndivyo mnavyo danganywa humo kwenu? sportpesa ku sponsor everton au hull city haimaanishi wanawaiga...https://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&url=https://www.jamiiforums.com/threads/tangazo-la-tanzania-leo-kwenye-mechi-ya-everton-na-sunderland.639370/?amp=1397318661&ved=0ahUKEwia3dKEoZzbAhVGJJoKHYbDBOEQFghNMAw&usg=AOvVaw0rM1YltiQ9wzYQEHm07Tnn&cf=1
Tulisha fanya haya 2014
tukafanya tena 2013, Sunderland vs Liverpool
Mnacho fanya n marudio
sinaga tabia ya kuja bishana na nyie hapa, ila leo nimeamua tu kuja mara moja na nitapotea, mmekua mki exaggerate sana mambo, bahati mbaya watu wengine mnao bishana nao taarifa sahihi wakati mwingine wanakua hawana, na hata leo nisingekuja hapa ingeonekana n kweli Rwanda kafuata nyayo za Kenya, na TZ ingeonekana wazembe, kumbe Rwanda na Kenya wote wamefuata hatua kwa Tanzania
by the way, I'm happy, Rwanda (anatokea baba) Tanzania (anatokea mama) , ni nchi zangu zote mbili
Tumefanya 2010 throughout the season, tangazo lilionekana kwenye jumla ya michezo 114,hahaha just see ur brain...kenya ikafata tanzania tangia lini ama hivo ndivyo mnadanganywa humo kwenu?
I retire from the debate...Tumefanya 2010 throughout the season, tangazo lilionekana kwenye jumla ya michezo 114,
Nyinyi mlikua mmefanya kabla ya hapo? jibu n hapana
Tukafanya tena 2013, bado hamkua mmefanya, tukafanya tena 2014 bado hamkua mmefanya,
Hata mpk leo hii as a nation/wizara husika bado hamjafanya
Zanzibar walifanya 2014
Rwanda imefanya leo... Kenya kafanya Sportpesa (Lion reduced to scavenger)
kwamba mmeshindwa kupata ka space ka matangazo pale uwanjani?? be serious jo
Mjifunze kupitia kwetu
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
napenda jinsi rwanda wanavojikakamua...kuna jamaa wengine ldc wavivu kupindukia staki wataja...always lazying around...sportpesa should now go for big clubs like barca, man u or chelsea if they can afford😀😀
Tatizo la wakikuyu wanaisi dunia inazungukia kwao tu. Sisi tulisha fanya hizo adverts zamani sana. Yeye anatuletea private company ya sports pesa wakati sisi ilikuwa ni utalii kwenye premier league. Hizi mbuzi aliye waloga alisha kufa😀😀Newcastle United, Blackburn Rovers, Stok, WBA and Sunderland
mwaka 2010 hiyo, mmeenda juz tu hapo tena sio nyie ni kampun binafsi (sport pesa) tofaut na sisi na Rwanda View attachment 784339