Rwanda follows Kenya's Footstep In The English Premier League

Rwanda follows Kenya's Footstep In The English Premier League

hahahaha hii ni ndogo sana bro...kuwa tu shirt sponsor wa timu kama everton ni jambo kubwa sana...plus sportpesa wapo mpaka south africa, tanzania na kadhalika...wana spinsor vilabu kama southampton, arsenal, everton na hull city...ongeza vilabu vya south africa, kenya na tz..
Acha ujinga. Sports Pesa ni kampuni ya utalii ?? Hivi wewe mkikuyu ulikosa matunzo ?? Mbona unakuwa zero brain.
 
Haitangaz chochote kuhusu Kenya, unaelewa sijui?? Haitangaz chochote kuhusu Kenya

Wapo Tanzania huku, Wanadhamini Simba, Yanga na Singida United, zaid ya betting campaign hakuna kitu cha Kenya wanacho tangaza,

Tunatumia Website pamoja na App ya kwetu ambayo nyinyi kenya hamtumii, south Africa wana website pamoja na app yao ambayo sisi na nyinyi Kenya hamtimii, Same thing kwa UK, wanajitangaza kama kampuni iliyoko kwenye taifa husika

Ni kama Leo hii Azam Media ilivyo Uganda au Burundi au Rwanda au Zimbabwe au nk, inajitangaza kama Media ya huko huko, haitangaz chochote kuhusu Tanzania labda ile kandarasi kutoka wizara ya utalii

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Umezijibu vizuri hizi mbuzi
 
Azam media wana mkataba wa kurusha matangazo ya laliga, lugha ya kiswahil imeongezwa kule, kuanzia msimu ujao tutapata matangazo live from Spain kwa lugha ya kiswahil...

We should be proud ni kampun ya kitanzania imefanya haya, lakn siwez nikaifanya sub ya taifa, yani taifa lishindwe kusimama sehemu fulan, kampuni binafsi ifanye hvyo tujivunie kana kwamba ni taifa limefanya, yanawezekana Kenya tu hayo

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Hawajamaa husifia vitu ambavyo sio vya kitaifa always. Wanaendesha na mabwenyenye kila kona. Nisawa na sisi tuanze kujisifia azam kujitangaza Kenya. Mikikuyu ili logwa.
 
if this is not selling kenya then I dont know what is
Tigers_WBA_88756.png
if this is not selling Tanzania then I dont know what is😀😀😀
everton-in-tanzania-salehjembe.jpg
 
zero brain mamako...nani kasema sportpesa ni kampuni ya utalii? nyambaff,brainless idiot
Zero brain mkikuyu uliyekosa matunzo. Sports pesa unaishabikia utafikili inakuingizia chochote hapo Kenya.! Thus why nimekuuliza kama ni kampuni ya utalii wewe zero brain.
 
napenda jinsi rwanda wanavojikakamua...kuna jamaa wengine ldc wavivu kupindukia staki wataja...always lazying around...sportpesa should now go for big clubs like barca, man u or chelsea if they can afford😀😀

Vitu watu wamefanya miaka ileeee, We leo hapa unajipiga kifua. Kweli vitu vingine vipya kwa watu , Ndio maana thread nyingi hata nzi Akifa kenya tunawekewa thread. Misifa ya ki K [emoji23]


visit TANZANIA

IMG_3476.jpg






IMG_3522.jpg
 
TTB SPORTS OPTION CAMPAIGN MOVES TO USA
1344053686_120718_0294.jpg
Tanzania Tourist Board (TTB) promotion campaign via sports option has moved to the United States of America. This follows the signing of a Memorandum of Understanding (MoU) between the Tanzania Tourist Board (TTB) and Washington - based Seattle Soccer LLC (SSL) which took place in Dar Es Salaam in mid July 2012.

The inauguration of the campaign, which is jointly funded by the TTB, Tanzania National Parks (TANAPA), and The Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA), took place at Renton

The ceremony was also attended by the Minister of Natural Resources and Tourism, Hon. Khamis Suedi Kagasheki (MP), as leader of the Tanzania Delegation.


According to the MoU, Tanzania’s tourist attractions including National Parks, Ngorongoro Conservation Area, Culture, Beaches and Historical sites, would be displayed during major league soccer events of the season to attract more tourists from the US market.

After holding talks with the campaign hosts, The Tanzania delegation travelled to New York, where they met other tourism stake holders.

At the same time, TTB renewed it campaign contract with Lantech Service Limited of London to carry over the tourism promotion activity to the next English Premier League kicking off mid August 2012 to May 2013.
 
SUNDERLAND AFC PARTNERSHIP 2013/14 SEASON TANZANIA LAUNCH COVERAGE: Squad wear special warm-up t-shirts.


By Kate Smith


IMG_3359.jpg


The players wore special t-shirts
ahead of the home clash with Liverpool following the announcement
of the club’s new partnership with Tanzania, which sees the country become
the ‘Official Destination Partner’ of Sunderland AFC.

The Black Cats took to the field
in the pre-game warm up sporting shirts emblazoned with the ‘Visit Tanzania’
logo as part of the ground-breaking
business partnership.


SAFC has already developed close
links with Tanzania, through providing technical and practical support to the
development of the football academy project, the first of its kind in the
country.

The project will see thousands of youngsters benefit from a joined up approach
combining football, education and community engagement, harnessing the
knowledge and expertise of Sunderland AFC and its own successful Academy.



IMG_3530.jpg
 

Tony Ventrella goes looking for answers behind the success of the Seattle sports teams at CenturyLink Field this season and as he comes to find out there is a connection to the new Tanzania murals in the North end of the stadium.

[youtube]28ZaIxiXQ-8#t=86[/youtube]
 
So, who really owns SportPesa?
9 people have individual shares in the betting company. 5 Kenyans, 3 Bulgarians and 1 American.

The top shareholders are American Gene Grand, Bulgarian Guerassim Nikolov and Kenyan Asenath Wacera. Each of them hold 21%.

Guerassim Nikolov was the brains behind First Lotto Ltd which ran the Toto 6/49competition. He served as SportPesa’s first CEO.


Guerassim Nikolov
This is also not Asenath’s first attempt at betting. She was the brains behind Shinda Smart 6969 – 90 Millionaires in 90 Days.

Businessman Paul Wanderi Ndung’u owns 17%, while current SportPesa CEO Ronald Karauri – son of former Tigania MP Mathew Adams Karauri and ex-Kenya Airways pilot owns 6%.

Paul Wanderi is a big investor in the NSE. He is among the top 10 investors in several listed companies among them Kenya Airways, Housing Finance and Olympia. He is also the top Uchumi individual shareholder.

Mr. Wanderi also owns a series of Forex bureaus, phone dealerships (Mobicom), construction equipment and investment firms.


Paul Wanderi (Left)
Two other Bulgarians own less than 5% each.

Here’s the full list.



In 2014, PriceWaterHouseCoopers estimated the total revenue from gambling to be Sh1.98 billion. Fast forward two years later, SportPesa alone has annual revenues exceeding Sh30 billion.

With many new players in the industry like Betika, MCheza and others, the total annual gambling revenue in Kenya is expected to reach Sh50 billion soon.
na kelele zote? 70% of Sportpesa owned by foreigners!
 
Sportpesa ni kampuni binafsi, inatangaza maslah ya kampuni sio Kenya, na wala hata haisemi inatokea Kenya au wapi, watu wa SA wata log kwenye website ya sport pesa SA, Tz web au app ya sport pesa tz, UK hvyo hvyo, sio mali ya nchi na wala haitangaz nchi

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app


Tatizo la Jay456watt siku zote ni mtu asiye elewa vitu. I guess he's incompetent.
 
Back
Top Bottom