Hakuna sehemu ambayo hakuna masikini, hasa Afrika na Asia au Amerika ya kusini. Masikini kama matajiri wako kila sehemu duniani.
Tofauti iko je makazi ya masikini ni mchafu, wana maji, huduma za afya kama vyoo na zahanti (kuepuka magonjwa ya milipuko) na usalama.
Makazi hayo ya Rwanda hata ukiyalinganisha na mengine ya namna hiyo, yatakuwa na nafuu na ndio maana hayasikiki kama unavotaka kuaminisha wana jamvi!