Rwanda husifiwa kuwa mji mzuri hapo Kigali ila hii sehemu hata siku moja hawatangazi

Kwanini wanaificha? Halafu wanaifichaje? Kwamfano wakiniona naelekea sehemu hiyo huwa wanafanyaje kuificha? Wanaihamisha au wanaweka giza nakuwa sioni kitu?
 
Au ni Kigogo -Dar ya kigali ?
 


Umetupasha Habari

Rwanda Mjitafakari Haraka
 
Picha ya muda kidogo alafu ukifika hayo maeneo ni pasafi na nyumba zina unafuu
 
Asante kwa taarifa..ila rwanda ni kusafi..huwezi linganisha na hizo slumz za dsm..dsm ni moja ya majiji machafu sana ea.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hakuna sehemu ambayo hakuna masikini, hasa Afrika na Asia au Amerika ya kusini. Masikini kama matajiri wako kila sehemu duniani.

Tofauti iko je makazi ya masikini ni mchafu, wana maji, huduma za afya kama vyoo na zahanti (kuepuka magonjwa ya milipuko) na usalama.

Makazi hayo ya Rwanda hata ukiyalinganisha na mengine ya namna hiyo, yatakuwa na nafuu na ndio maana hayasikiki kama unavotaka kuaminisha wana jamvi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…