Rwanda inaiba wanyama hai kutoka mbuga ya Virunga, Congo

Rwanda inaiba wanyama hai kutoka mbuga ya Virunga, Congo

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Duru zinatabanaisha Rwanda inaiba na kuwasafirisha wanyama hai kutoka mbuga ya wanyama ya Virunga nchini Congo na kuwapeleka/ kuwauza nchi za Uarabuni kwa mamilioni ya Dola.

Ifahamike, kundi la waasi la M23 ndilo linaendesha shughuli zake za uasi ndani ya mbuga la Virunga huko Kivu ya Kaskazini nchini Congo.
 
Mobutu sese seko alikuwa na kasoro zake lakini katika Amani alifanya vizuri, alikuwa halali mpaka ajuwe hali ya usalama nchi nzima ipoje kwenye mipaka yote 9

Asubuhi aliamka mapema na kupiga simu kwa magavana kujua hali ya usalama, kwenye hiyo mbuga ya virunga alikuwa anaenda,enzi zake kulikuwa hakuna makundi ya uhasi
 
Ipo siku Boko mla wenzie na yeye ataliwa tuu.
 
Back
Top Bottom