Mobutu sese seko alikuwa na kasoro zake lakini katika Amani alifanya vizuri, alikuwa halali mpaka ajuwe hali ya usalama nchi nzima ipoje kwenye mipaka yote 9
Asubuhi aliamka mapema na kupiga simu kwa magavana kujua hali ya usalama, kwenye hiyo mbuga ya virunga alikuwa anaenda,enzi zake kulikuwa hakuna makundi ya uhasi