Rwanda inarusha Satelaiti ya Kijeshi. Je, Tuko Salama?

Ya Rwanda kweli au ya waisrael.

Hizi nchi alizoita Trump kwa jina lile zinauwezo huo?
 

Na sasa wameshinda nafasi ya kua mwenyeji wa mamlaka ya udhibiti wa bidhaa za dawa kwa Afrika nzima (Africa Medicine Agency (AMA)

Hii ni sawa na TMDA kwa hapa kwetu tofauti ni kua inacover Afrika nzima.

Wako very aggressive hawa watu. Tunaweza kufanya vizuri pia tukiamua.
 
Viongozi wetu wangefanya kila jitihada kuyafanya haya wanayoyafanya Rwanda maana usalama wetu utakuwa mashakani hawa jirani zetu wakiwa na hii teknolojia
Umeambiwa hapo hata Ethiopia tayari wana military satellite. Inawasaidia nini kila siku wanauana kwa vita na nchi haina amani?
 
Watu walivyo wambea mbona ni satelite tosha. Hii nchi ingiza mgeni asiyejulikana mwenye nia ovu utashangaa mlango umegongwa usalama hawa hapa. Usibishane, jaribu tu. Fanya kwa vitendo.
 
Ok. Inawasaidia nini ilhali wanaongoza kwa kufa njaa Afrika? Au unanihakikishia ya kwamba kwa sasa inawasaidia kuondokana na uhaba wa chakula nchini mwao?
Setellite yao waliiweka kwa nia nzuri ila Njaa yao ni Man made kwasababu za migogoro ya Kisiasa.
 
Rwanda ni shushushu wa mabeberu nahis atakuja kuharibu East Africa nadhani tunajua mipango ya hao West huyu ndo kibaraka wao. Naona kuanguka kwa EAC soon. Huyu dogo ameanza dharau anatakiwa ashughulikiwe mapema
Hata awe shushushu watajisumbua,ka nchi kadogo masikini katawasaidia nini?hizo satelite ni nchi kibao wanazo na Rwansa hakuna cha maana zaidi ya air time tu,rais wao msanii na hiyo mikwara ni kwa wananchi wake na sio kweingine
 
Story za vijiweni hizi
 
Akili ile ile “tunapigwa vita”, “tunaonewa wivu”, “hawatutakii mema”. Ukishaondoa akili hiyo utatambua kuwa kila nchi itakuwa na maslahi tofauti, mahitaji tofauti, vipaumbele tofauti nk!!

Hapa nakuona unalalamika tu, hutoi suluhisho kama tumzuie Rwanda asifanye anachotaka au na sisi tureje satelite!! Kazi kulalama tuuuuu.

Aina hii ya watu wenye wasiwasi na mashaka zaidi kuliko bidii na maarifa huleta uoga usiokuwa na sababu!! Mleta mada, acha tabia hii! Taifa linaangamizwa na watu wa aina yako!
 
😄😄 Hapo ambae tutaweza kum-controll kufanya tunavyotaka sisi tu labda Ni nchi ya Burundi tu,Maana Burundi Ni Kama ilishajikatia tamaa na inajua bila Tz kuisaidia Kijeshi then CNDD-FDD watatolewa madarakani.

M7 aliwahi kulalamika khs Rwanda na ambition zake,PK akamjibu kwny mkutano "Finally, there is nothing wrong with being ambitious''.
 
So ukiwa na satellite ndio unajua siri za jirani yako zote et eeeehhh hahahahaa
 

ccm wako kazi kuimba nyimbo za kumsifu raisi hata kuangalia dunia na usalama wa nchi yao hakuna
 

Nafikiri we akili huna na kama kuna mtu alikusomesha bas kala hasara kubwa ya karne!!…
Karne hii unasema satellite ya nn??
hata kama si ya kijeshi unajua impact inayoleta kwa nchi??
Unajua y TPL iliweza kuyashinda majeshi ya ethiopia ili base kwene real time info walizokua wakipewa na kudukua kutoka federal army!!…

haya mtu mwenye simu na anaetumia barua ya mkono unaweza ukawalinganisha??

Check urself before u bring ths nonesense!! idiots
 

Ona huyu zwazwa nae anadhani kaandika point kumbe pumba tu.

USA hadi leo hajui anafanya nini Iraq pamoja na satellites zote alizonazo. Anapigwa na wavaa makurubasi hawajui hata simu ni nini.

USA alipigwa Somalia na wapigwa kobasi hao hao pamoja na technology yote rejea Black Hawk Down.

USA ilipigwa Saigon pamoja na satellite zote walizonazo.

Kenya hadi leo inafumuliwa Somalia pamona na satellite yao.

Zimbabwe wanakufa njaa pamoja na kuwa na satellite.

Sijasema satellite sio muhimu bali satellite isn't everything mitanganyika mnadhani mwenye satellite basi kamaliza kila kitu. Mlienda shuleni kusomea ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…