Rwanda inatuingilia katika mambo yetu ya ndani sasa.

Rwanda inatuingilia katika mambo yetu ya ndani sasa.

Sioni walipotuingilia. Huu ni ushauri wa kawaida tu kulingana na hali halisi ya elimu yetu hivi sasa. Maana wakati tunalalamikia ufaulu wa wanafunzi kushuka, hal ya walimu wenyewe wanaofundisha mashuleni hivi sasa ni mbaya kuliko kawaida. Miaka ya nyuma kulikuwa na mashindano ya debate mashuleni, lakini siku hizi vitu kama hivi ni kama vinaishia. Na watoto wanamaliza kidato cha nne wakiwa hawawezi kuongea hata sentensi moja vizuri, nikiwemo mimi pia. Kwa hakika hili si jambo la kulifumbia macho, linahitaji ufumbuzi wa haraka, ikiwemo ama kuajiri walimu kutoka nje, au kubadilisha mitaala au kuboresha ufundishaji wa walimu wetu wanaofundisha primary na sekondari.
 
.
Nyie si mmewapa ushauri kukaa na waasi wao na kufanya mazungumzo, walipo-react mkawaambia ni ushari tu wakitaka waufuate wasipotaka wauache! - so na wao wamewapa ushauri tu mkitaka mnaufuata msipotaka mnauacha!

Teh! teh! teh! ... ni ushauri tu! - usipoutaka unauacha!
.
 
Dear Tanzania, yes this situation can be fixed

1373762282ssenyonga.jpg
Allan Brian Ssenyonga

It is the dry season in Kigali and the grass is really brown where it is and dust reigns where it isn't. As if that is not bad enough a bad cold choose to visit me and kept me at home for a while as I struggled to stay hydrated.

Of course my editor takes no prisoners so I had to drag myself out of bed and heed his calls to submit my article. I almost forgot what I had set out to write when that phenomenal girl, Malala Yousafzai who was shot in the head by the Taliban, appeared on Al Jazeera giving a live address to UN delegates. Resilience is her other name for sure.
Better news came in a day earlier when it was finally confirmed that Kenyan footballer, Victor Wanyama has finally joined an English Premier League club, Southampton. Wanyama became the talk of town when he scored against Barcelona in a Champions League game.

Of course Kenyans cannot brag to be the only ones with a premiership player since there is a Burundian turning out for Newcastle United in the form of Gael Bigirimana. And not to be left out, Rwandans also have a representative in the form of Alfred Martin Mugabo, who turns out for Arsenal FC's reserve team.

Away from the premier league, Ugandans also received good news with former Uganda Cranes captain, Ibrahim Sekagya making the switch from Austria's Red Bull Salzburg to its American sister club, New York Red Bulls. After captaining the Austrian side to a league double, Sekagya will now have the pleasure of playing in the same team with Arsenal legend, Thierry Henry in the US Major League Soccer.

At this point you may want to ask me about football in Tanzania and I could point to the game between Tanzania's Taifa Stars and Uganda Cranes. However there is something about Tanzania that had me thinking a lot in the recent days. It concerns the country's education sector.

Tanzania's media reported that over 10,000 places in A Level are likely to remain vacant as a result of the massive failures recorded in last year's O Level national exams. Tanzania can no longer pretend that there is no problem affecting its education system. The major contention has been with the language of instruction.

Tanzanians use Swahili as the language of instruction throughout primary and by the time they get to secondary many are more comfortable with the language that has unified them than English the world's true global language.

There surely is a problem of English language teaching in Tanzania and since form four exams are written in English it is clear that many students will have trouble understanding the questions before them. Therefore students need to have very good teachers of English and more emphasis placed on the subject.

We all know that in an African Ujamaa setting (if I can borrow Mwalimu Nyerere's teachings) if a homestead lacks something then one should not feel shy to ask the neighbour for help. In the 70s the gallant soldiers of the Tanzania People's Defence Forces joined hands with other Ugandans to ‘help' Uganda in getting rid of Idi Amin Dada.
Even as nelson Mandela lies in hospital, I am sure he remembers that when the going was tough, Tanzania offered the ANC military wing a home to train from in preparation to fight for the apartheid government back home.

I therefore believe that just like Uganda and South Africa knocked on Tanzania's door for help, Tanzania can also seek help from its neighbours to address this small issue affecting its education sector.
Yes Tanzania can hire teachers from Uganda and Kenya for example to teach English in their schools. And by the way this would even be a good time since teachers in Uganda and Kenya are asking for pay rises that their respective governments seem unwilling to offer.

This solution is not even unique in the region. When Rwanda switched from French to English several Kenyan and Ugandan teachers were hired to address the gap that had been created by the switch.
Actually to keep its pride, Tanzania can simply go for an exchange programme where it supplies its Swahili teachers to Uganda in exchange for English language teachers.

That way at the end of the day we have Ugandans speaking better Swahili while Tanzanians will; speak better Swahili. I know I may get a bashing from Tanzanians but I will just be listening to the classic song by The Temptations, "Aint Too Proud To Beg."

Blog: Allan's Wordy World | The wordification of my mind
Twitter: @ssojo81

Contact email: ssenyonga[at]gmail.com

http://www.newtimes.co.rw/news/index.php?i=15418&a=13900
 
ametoa ushauri mzuri kwa kweli na sioni tatizo hapo
 
Wako sahihi kutoa ushauri kuhusu mfumo wetu wa elimu, kama ambavyo sisi tulivyokuwa sahihi kuwapa ushauri wakae meza moja na waasi. Tofauti ni kwamba wanachotushauri tayari kilishakuwepo na kinafanyiwa kazi, lakini tulichowashauri hawataki kukisikia kabisa (achilia mbali kukikubali)! Dear Rwandans, yes this situation can be fixed
 
Hahaaa!! about futbal ur deadly wrng we got adamu nditi thought he has not yet made it for the epl bt u got to not tht he plays for chelsea young stars..n yet more plays wil b introduced in ur so called best league,just kip in touch...next time make atleast a chicken feet of a rearch ur articles,other wise wewe ni --------..n by the way in how zoos we kip animals n birds for tourism bt u guys kip human skulls,so hatutaki ushauri wenu.
 
Hawa mavuvuzela wa Kagame wanasahau kua RPF ilipoingia madarakani, watutsi wengi waliokua Tz ktk nafasi mbalimbali waliosomeshwa kwa kodi na nguvu zetu waTz, walirejea Rwanda na kushika nafasi mbalimbali, leo hii wanakaa kitako na kuandika upuzi kama huu kwa kusudi ili kulitusi taifa letu tukufu. Kweli wema mtendee mbuzi utakula nyama yake, lakini sio watutsi/
 
Umeandika lugha gani sasa nawewe??!
 
It is unheard of anywhere anytime that over 10000 form five slots go begging- hamna wanafunzi wa kuzijaza kabisa. Tatizo ni kubwa ila tunalipuuzia. We should indeed source Kenyan, Ugandan teachers as suggested by good Rwandan ndugu. Mbona wapo wengi private schools na ni walimu wazuri, dedicated na real performers. Rwanda baada ya kujiunga na EA walibadilisha mfumo wa elimu kutoka kifaransa kwenda kingereza, si haba wamepiga hutua.
 
Hakuna duniani nchi isio na challenges sio tu katika elimu hata ktk sekta nyingine.
Huyu the so-called 'ndugu' has a hidden agenda na ushauri wake hauna mantiki yoyote. Nakumbuka wakati UDOM inaanzishwa ikawa na changamoto ya wakufunzi ila hao mnaowasifia na kutaka kuwa-outsource, wakaishia kuleta maombi mengi yakiwa na vyeti feki na urongo mwingine mwingi..hatujafikia hatua ya ku-outsource hawa watu, they don't possess anything special to our education system. Tunachotakiwa kufanya ni ku-invest heavily kwene miundombinu ya elimu kama madarasa, maabara, vifaa, vitabu na kuwashape walimu wetu and we are all set/
 
Hawa mavuvuzela wa Kagame wanasahau kua RPF ilipoingia madarakani, watutsi wengi waliokua Tz ktk nafasi mbalimbali waliosomeshwa kwa kodi na nguvu zetu waTz, walirejea Rwanda na kushika nafasi mbalimbali, leo hii wanakaa kitako na kuandika upuzi kama huu kwa kusudi ili kulitusi taifa letu tukufu. Kweli wema mtendee mbuzi utakula nyama yake, lakini sio watutsi/

Acha jazba za jinsi hii mkuu.Hii inaonesha baadhi ya watanzania wenzangu mmepigwa" mimba ya uchungu"kutokana na sumu ya ujinga na umaskini na kukosa kabisa hisia za ubinadamu kwa kuendekeza chuki za wazi za ukabila hata kushindwa kutafakari kidogo tu kile anachosema umdhaniaye kuwa adui yako.Hakuna sababu ya msingi ya kuwaadhibu unaowaita watusi kwa kauli zenye ghadhabu jinsi hii!Binadamu wote ni sawa na Afrika ni moja

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mwene jazba hapa ni nani?
Kama unashindwa ku-match philosophical heights za post yangu ni bora tu ukakaa kimya na kubaki msomaji kuliko nawe uonekane umechangia kitu kwa kuchangia kisichoeleweka/
 
Inaonekana ulsoma rwanda kwa mpumbav mwenzako kagame...kamwe huwez kulinganisha elimu ya tz na rwanda labda uwe taira...top 100 best universities in afr tuna vyuo vi4 wao wana ki1...wakati udsm ni cha 6 universote nationale du rwanda ni cha 45....mjomb usisapot mada ambazo una uhakika nazo
 
Back
Top Bottom