it aint bad to take a productive advice frm ur enemy.after all elimu yetu ni bomu.katika gazeti la leo la nchini Rwanda imeonesha wamezidi kuikosoa serikari yetu hata katika sekta nyingine kama elimu huku wakidai tuombe msaada katika suala zima la elimu. Source:Dear Tanzania, yes this situation can be fixed - The Sunday Times
Umeandika lugha gani sasa nawewe??!Hahaaa!! about futbal ur deadly wrng we got adamu nditi thought he has not yet made it for the epl bt u got to not tht he plays for chelsea young stars..n yet more plays wil b introduced in ur so called best league,just kip in touch...next time make atleast a chicken feet of a rearch ur articles,other wise wewe ni --------..n by the way in how zoos we kip animals n birds for tourism bt u guys kip human skulls,so hatutaki ushauri wenu.
Hakuna duniani nchi isio na challenges sio tu katika elimu hata ktk sekta nyingine.It is unheard of anywhere anytime that over 10000 form five slots go begging- hamna wanafunzi wa kuzijaza kabisa. Tatizo ni kubwa ila tunalipuuzia. We should indeed source Kenyan, Ugandan teachers as suggested by good Rwandan ndugu. Mbona wapo wengi private schools na ni walimu wazuri, dedicated na real performers. Rwanda baada ya kujiunga na EA walibadilisha mfumo wa elimu kutoka kifaransa kwenda kingereza, si haba wamepiga hutua.
Hawa mavuvuzela wa Kagame wanasahau kua RPF ilipoingia madarakani, watutsi wengi waliokua Tz ktk nafasi mbalimbali waliosomeshwa kwa kodi na nguvu zetu waTz, walirejea Rwanda na kushika nafasi mbalimbali, leo hii wanakaa kitako na kuandika upuzi kama huu kwa kusudi ili kulitusi taifa letu tukufu. Kweli wema mtendee mbuzi utakula nyama yake, lakini sio watutsi/
Mwene jazba hapa ni nani?Acha jazba za jinsi hii mkuu.Hii inaonesha baadhi ya watanzania wenzangu mmepigwa" mimba ya uchungu"kutokana na sumu ya ujinga na umaskini na kukosa kabisa hisia za ubinadamu kwa kuendekeza chuki za wazi za ukabila hata kushindwa kutafakari kidogo tu kile anachosema umdhaniaye kuwa adui yako.Hakuna sababu ya msingi ya kuwaadhibu unaowaita watusi kwa kauli zenye ghadhabu jinsi hii!Binadamu wote ni sawa na Afrika ni moja
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Engekua yule jamaa angesema 'That's utter nonsense' ila sisi tusikilize kama kuna cha kuzingatia.katika gazeti la leo la nchini Rwanda imeonesha wamezidi kuikosoa serikari yetu hata katika sekta nyingine kama elimu huku wakidai tuombe msaada katika suala zima la elimu. Source:Dear Tanzania, yes this situation can be fixed - The Sunday Times