Rwanda inatuingilia katika mambo yetu ya ndani sasa.

Ni sawaa,lakini japo elimu ya Tanzania iko kwenye hali mbaya,elimu ya Rwanda ni mbayarest.Kwa wenzangu tuliowahi kufika Rwanda mtakubaliana na mimi kuwa Four ya Tz ni two ya Rwanda.Anyway,ni ushauri mzuri.
 
huyu mwandishi ni mganda si mnyarwanda na ni mawazo yake. aliyeanzisha uzi huu ni zuzu na nadhani ametegeshea kuona thinking ability ya commentators
 
achana na machangudoa wa siasa na uchumi

ssenyonga ni mganda, ana shida kweli, na ndugu zake wengi tu wanahangaika angeanza nao... wapo wengine marekani wanachapa lapa kila kona bila kitu... anyway waganda na warwanda siku zote wanatuangalia sisi kama low class wakati tunapeta

karata ya genocide inakaribia kuexpaya sasa wako bize kutafuta mapya
 

bryan alitakiwa atoe boriti kwenye jicho lake

ni mganda anayetawaliwa kisultani na museven, na kwa kukosa identity anadhani wanyankole ni warwanda

we really ahve to give them some education
 
ametoa ushauri mzuri kwa kweli na sioni tatizo hapo

bahati nzuri kazi zangu nimefanya na kenya, rwanda, burundi na tanzania for 8 years.,... hawana chochote cha kumshauri mtanzania kwa lolote lile

labda usultani na ujing wa kujisifu... in 1999 tulipata spenosr ya kwenda kusoma shahada za uzamili UK, na waganda na warwanda walibali kuosha vyombo na kukamua ngombe, sisi tulirudi, wakenya walibaki kupractice, ila waganda na warwanda wanakamua ngombe hadi leo

they ahve nothing to tell anyone, Kampala and Kigali are a good examples to see it
 
huyu mwandishi ni mganda si mnyarwanda na ni mawazo yake. aliyeanzisha uzi huu ni zuzu na nadhani ametegeshea kuona thinking ability ya commentators
of koz I noticed that. naona waganda & watutsi wameunga tela la wakenya kujiona wako matawi sana, mtu asiewajua ndio atawatetemekea/
 
Huyu hajui alisemalo! Anafikiri Tanzania ilipokubali uwekezaji wa sekta binafsi kwenye elimu (English medium primary schools) ilikua inabahatisha? Hapa nae anafikiri ametoa ushauri mpya wakati ameongea vitu ambavyo tayari tunafanyia kazi. Hivi anajua kwamba hao anaosema tuombe waje kufundisha Tanzania, tayari wapo kibao kwenye shule zetu za chekekea? (Maana wanachojua ni kiingereza tu). Huyu Alan ni Mganda, je ana habari kwamba Museveni amesoma Tanzania kuanzia primary mpaka Chuo kikuu? Anajua maelfu ya wanyarwanda wanaosoma vyuo vikuu vya Tanzania? Anahabari kwamba baada ya Kagame kuingia madarakani alikuja Tanzania kuomba wasomi wa kuendesha taasisi za Rwanda?

Kwenye kiingereza tulishawakaribisha zamani na wapo, ila kwa vile hawajui kitu zaidi ya kiingereza, tumeamua kwenda Jamaica kukopa wataalam wa kufundisha Hesabu! Fani nyingine hatuna tatizo, tunajitosheleza mpaka tunaweza kusaidia wengine.

Karibu Tanzania Allan, tunatoa elimu ya hali ya juu ya uandishi wa habari.
 
of koz I noticed that. naona waganda & watutsi wameunga tela la wakenya kujiona wako matawi sana, mtu asiewajua ndio atawatetemekea/

Hawatuwezi, tuko juu sana kwenye kila secta. Tumewafundishia viongozi na tunaendelea kuwafundisha utawala bora. Tena Waganda na wanyarwanda ndio kabisa wasiseme maana sisi ndio tunawafanya wawe na jeuri. Tunao hata uwezo wa kuwawekea vikwazo vya kiuchumi wakalia kilio cha kusaga meno. Wakaulize Burundi yalishawakuta kipindi cha mwisho mwisho cha Rais Buyoya.
 
Watanzania lazima wawe makini sana na hawa Wanyarwanda.
Sioni sababu ya kushabikia kila kitu wanachokitupa mtandaoni.

Suala kama la elimu haliwahusu wao kulizungumzia.
Wanatakiwa waongelee Utusi unavyowamaliza wahutu kwasababu hilo ni tatizo lao.

Kagame amekiri kuwa hataki vikosi vya SADC kule Congo ili aendelee kufanya mauaji na uhuni.
Mkumbuke kuwa Kagame amezaliwa kati kati ya milio ya risasi na hivyo harufu ya damu ya mwanadamu kwakwe ni kama chocolate au Coffee.

Anachokifanya hapa ni kutafuta kitu cha kuwachonganisha Watanzania ili waondoe focus katika DRC na yeye aweze kuendeleza utusi na umumiyani.

Narudia, Kagame hakuzaliwa hospitali amezaliwa kati kati ya risasi hivyo sauti anayoijua zaidi ni risasi na harufu anayoijua ni damu.

Watanzani mkianza ku-entertain hoja za hawa watu ,watatafuta kitu ambacho kinaweza kuwachonganisha watanzania wenyewe. Wanachotaka ni kuhakikisha kuwa Tanzania inakuwa katika vurugu kama za DRC ili Kagame aendeleze kiu yake ya mauaji dhidi ya Wahutu.

Jihadharini sana na habari kutoka Rwanda. Elimu si tatizo lao, na kama ni ushauri mbona wao hawataki kusikia ushauri wa kuzngumza na FDL. Mnyarwanda hawezi kushauri kuhusu elimu wakati ambapo hataki kushauriwa kuhusu amani.

Soma hapa chini uone Kagame anavyohangaika hovyo! na bado SADC itakamlia koo ataachia tu.
http://www.dailynews.co.tz/index.ph...asks-us-for-inclusion-in-dr-congo-peace-talks

cc JokaKuu Jasusi EMT
 
Last edited by a moderator:
Reactions: EMT

Nguruvi3,
I may not agree with you entirely on Kagame, and I also think Kagame has a right to meet with Secretary of State John Kerry without the presence of SADEC. I do not know who has called for this meeting on Congo but I believe Kagame has issues he would like to discuss with the US Secretary of State. Kerry can then call a meeting on Congo involving all parties but I believe Kagame has a right to meet the US on his own.
 
Tutafika,
Kama tumewafundisha Waganda na Wanyarwanda utawala bora, mbona kwetu umetushinda? Mwigulu anajua utawala bora ni nini?
 
CCM wanashughulika na namna ya kuvunja nguvu za CDM, na si kuongeza kiwango cha elimu Tanzania.
Kwao CCM ubora wa Elimu ni swala la mzazi.
Ujanja wote hapa dunia upo katika lugha ya kiingereza, kiingereza ni ugha ama lugha nyingine lakini ni lazima tukubali kwamba ndiyo lugha ambayo tukiimudu tunaweza kumudu mikiki mikiki ya Technolojia.
Soution ya muda mrefu ni kuimarisha lugha ya kiswahili kwa kukopa maneno ya kilatini na kiarabu na kutafsiri vitabu vingi iwezekanavyo vya ujanja wote duniani na kufundisha kwa kutumia kiswahili. Hii ni kazi nzito sana na itakayochukua miaka zaidi ya 20 kama tutaunda timu ya watu makini na wenye nia safi.Wenzetu Wachina kwao wanasoma kichina na bado wameweza kuakata mbuga. Lugha ya kichina ni very rich in vocaburary hata kuliko kiingereza.
Vinginevyo tutaendeleaa kuula wa chuya huku Mahabithi ndani ya serikali ya CCM wakiendelea kuelimisha watoto wao nje ya nchi kwa kodi zetu.

Potelea mbali,Nitaendeea kuosha vyombo kwa wazungu kwa miaka mingine 15 mpaka vijana wangu wote wamalize vyuo hapa US.

Uzuri ni kwamba naenda kuosha vyombo kwa mzungu huku naendesha Audi kali sana ya Royal Blue
 
Tutafika,
Kama tumewafundisha Waganda na Wanyarwanda utawala bora, mbona kwetu umetushinda? Mwigulu anajua utawala bora ni nini?

Mwigulu ni mpigadebe wa chama kama alivyo Mtatiro wa CUF na wengine wa CDM. Sio watawala hawa!
 

Tanzania inakoelekea ni kufundisha shule za msingi kwa lugha ya kiingereza, ndio maana shule za english medium zinafanya kazi kubwa sana. Hiki sio kitu cha kubadilika ghafla, kinahitaji maandalizi ya kutosha. Kumbuka kwa sasa waalimu wa shule za msingi ni lazima wawe walifaulu form 4, na wale wa UPE wanajiendeleza kwa lazima. Hili linafanyika ili mfumo utakapobadilika basi iwe rahisi kwa waalimu kubadilika pia (Namaanisha itahitaji nguvu ndogo kuwapiga msasa wa lugha waalimu ili wapige kazi kama kawaida). Tuko strategic
 
Ukweli 100%
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1373855170897.jpg
    12.8 KB · Views: 34
Yes Jasusi, he has the right, I agree with you but we should not ignore the fact that SADC members have troops in DRC fighting against Kagame's force.
Side lining the stake holder in the meeting is to allow Kagame to disgorge his hatred ideology and perhaps confuse the world.

If Kagame is for permanent solution he should not hesitate if not fear to cooperate with other stakeholder the likes of SADC for solution.

It's the same Kagame who assisted Ntaganda for years just arrested him under duress in Nairobi
If Kofi Annan and Mkapa would have opted Kagame out of the meeting then Ntaganda would have not been arrested.
This underscore the importance of involving everyone when seeking the solution.
 
Mwigulu ni mpigadebe wa chama kama alivyo Mtatiro wa CUF na wengine wa CDM. Sio watawala hawa!
But he is a product of a system we have created. Hujasikia Mwenyekiti wake akimsifia?
 

kilichosemwa siuoni ubaya wake elimu yetu ni kweli ina madhaifu makubwa katika miaka ya 6o-80 ilikuwa safi\kuanzia 80 to date wapi tuliteleza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…