PK anafanya madhambi yote kama ya Putin, Makonda, Maduro etc. Lakini haguswi na vikwazo, kunyimwa misaada, tishio la ICC wala kupigwa PI na nchi za Magharibi. Ana hadhi maalum Ikulu ya US na kote Ulaya. Hata Ufaransa waliojaribu kumtikisa wanamgwaya.
Anajua “kula na wakubwa”. Wakiwa na shida hasa za kupindisha sera hata sheria zao wenyewe anajitokeza kuwasaidia.
labda wataleta maendeleo rwanda iwe kama ulaya. Hao wakimbizi wakifika rwanda watulie hukohuko, wasianze kutamani rasimali za mataifa jirani na kuanzisha ushenzi wa kutaka kuzipata isivyo halaliPoleni Kwa majukumu wadau
Kuna habari kuwa Rwanda imejipanga kuwapokea wakimbizi Toka ulaya. Ninacho dadisi ni je? Rwanda itafaidika kwa lipi?Nawasilisha
Mkuu unahofu na hao wakimbizi wa Rwanda kuvamia nchi jirani?🤣🤣🤣🤣🤣labda wataleta maendeleo rwanda iwe kama ulaya. Hao wakimbizi wakifika rwanda watulie hukohuko, wasianze kutamani rasimali za mataifa jirani na kuanzisha ushenzi wa kutaka kuzipata isivyo halali
Nchi za kiafrika hazijakosa nguvu kazi, alafu mkimbizi ana technology Gani mnawakuza tuAnataka nguvu kazi, Aswa tekinolojia
Jamii ya Watu weusi ililaaniwa, ni jamii hovyo kabisaHela za msaada. Africa utasema tumelaaniwa.
Anatengeneza nguvu kazi ya kuipanua Rnd kimabavukagame anapenda kick kama Konde boy
Ki vipi?Anataka nguvu kazi, Aswa tekinolojia
Very right. Lakini kubali huyo mtu ni smart sana.wakimchoka watamtelekeza kama puffy daddy shetani hana rafiki
Nani alikwambia mkimbizi mwenye professional yake anafukuzwa huko ulaya au marekani?Watamsaidia katika nyanja nyingi sana haswa upande wa kiteknolojia ambapo ndiko Rwanda inataka uwe mwelekeo wa taifa lao.
ni vyema ukamtumia Kagame sms kumuulizia kuhusu hilo, sisi wengine tutakuwa tunakudanganya tuPoleni Kwa majukumu wadau
Kuna habari kuwa Rwanda imejipanga kuwapokea wakimbizi Toka ulaya. Ninacho dadisi ni je? Rwanda itafaidika kwa lipi?
Nawasilisha