Majibu.....
1. Inajihakikishia uaminifu kutoka kwa moja ya nchi ambayo ni Super Power duniani
2. Inajihakikishia hata kupata Msaada wa Kiusalama ( hasa ikiwa katika Mzozo ) na nchi mbili jirani za Wapumbavu
3. Kuja kwa Wakimbizi kutaongeza Rwanda kuonekana kwa Jicho la Tatu la Kimsaada toka WB na IMF
4. Kuja kwa Wakimbizi kutaweza kusaidia kuleta Ujuzi kwa Warwanda kwani Wakimbizi wengi huwa na Ujuzi mwingi
5. Kutasaidia Rwanda kupokea Miradi mingi ya Kusaidia hao Wakimbizi ambayo nayo itafadikia Kiuchumi
6. Itasaida Wanyarwanda Kuzaana na hao Wakimbizi ili kupata Cream ya Watu Werevu kutoka Watokako Wakimbizi
7. Inaithibitishia dunia na hata UN kuwa Rwanda ni sehemu salama kwa sasa hata huko nyuma ilikuwa Machafukoni
Nimemaliza.