Rwanda kuanza kutumia nguruwe kama mlo mashuleni

Hiyo ni kwa sjili yrnu mnayoionsnhakisi, kwa Waislam inabaki kuwa siyo halisi.


Qur'an ipo wazi kabisa, kula nguruwe ni haramu. Hili sidhani kama kuna ambae halijuwi Tanzania hii, awe asiwe Muislam.
Umepewa hadithi je umeisoma. Umepewa sura ya Mwanzo je umeisoma? Acha kukaririshwa soma mwenyewe uelewe.
 
Hata maharage ukila kwa kuzidisha maradhi utayapata.
Vile vile ngamia pamoja na samaki Kambale
...........
 
Huwa watu wanaonyesha jamii ya Israel/Jews ni watu wenye akili mno lkn kwao Nguruwe ni katazo kubwa ni ‘forbidden’ kabisa sasa sijajua nguruwe na akili vina uhusiano upi?
Israel [emoji1134] wengi wanatumia Nguruwe, wasiotumia ni wafuasi wa dini ya kiyahudi tu mkuu wangu
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Rwanda mna akili nyingi sana!
 
Ukiona mtawala anaanza kuwalazimisha watu kwenda kinyume na dini zao elewa kuwa siku zake zinahesabika.
Mkuu aliyeleta uzi alikuwekea mtego anafahamu kwa vyovyote ungefika kwa Kasi ya 5G🤔
 
Ukiona mtawala anaanza kuwalazimisha watu kwenda kinyume na dini zao elewa kuwa siku zake zinahesabika.
AAAAAAA Nimefurahia kukuona baada ya siku tele. Najua umenisahau ila mimi sijakusahau. Kilichofanya nisikusahau ni tabia yako ya kunibishia. Niliwahi kukuambia kuwa bei ya umeme haitashuka. Ulinibishia sana tena ukaniona ni msaliti nisiyewatakia mema viongozi wa wakati ule. Nikashikilia msimamo wangu kuwa bei haitashuka. Ukaendelea kubisha, nikakupatia hadi mfano hai wa mradi wa Songas, kuwa tuliahidiwa umeme bei yake itashuka.
 
Unafikiri bei inashuka kwa kufumba na kufumbuwa? itashuka tu, ngoja kwanza tujitisheleze kuzalisha na kuusambaza umeme.

Usimsikilize Maharage, kachacha huyo na hayo ni mawazo yake tu.
 
Nyingi ya habari za Rwanda ni uzushi , kuna uzushi ulienea eti kila mtoto wa shule ya msingi Rwanda anayo Laptop hii sio kweli kwa sisi tulioishi Rwanda hali harisi twaijua kuna watoto hata viatu kwa maana ya yebox2 hawana sembuse laptops , Maisha yao ghari sana fikiri ukikutana na demu show ya one time tu anakupiga faranga 50,000 sawa na laki na ushee ya bongo wakati bongoland show ya one time dada zetu hawana shobo hadi 30thou tunamalizana ila sio Rwanda na ukiwa na laki ukiingia kwenye matumizi ni sawa na hakuna kichekesho wale mademu tunaoringishiwaga watsap ukienda ni wakutafuta kwa tochi bongo bado tumejariwa warembo kila kona anzia singida shuka manyara njoo kati panda dar nenda kusini ni PC za ukweli Rwanda zile PC ndefu ni za kuhesabu tu kinachoongelewa kuhusu Rwanda na ukienda utakikuta ni usafi wako vizuri na wako serious katika mambo mengi tu mengine njoo Rwanda tulipo hapa ndio tunajua ukweli leo wanyarwanda wanaona bongo ndio kimbilio kule maisha magumu balaa hiyo nyama ya kuwalisha wanafinzi daily itoke wapi ???
 

Kuhusu pisi za kinyarwanda kiukweli kuna propaganda nyingi sana.
 
Hiyo ni kwa sjili yrnu mnayoionsnhakisi, kwa Waislam inabaki kuwa siyo halisi.


Qur'an ipo wazi kabisa, kula nguruwe ni haramu. Hili sidhani kama kuna ambae halijuwi Tanzania hii, awe asiwe Muislam.
na ngamia je?
 
Mungu ni wa ajabu kweli. Yaan nguruwe pamoja na kuchukiwa na watu flan leo wanasayansi wamegundua moyo wake unaweza kuwekewa na ukaendelea kuishi. Kitimoto ni kama maji usipoyanywa utayaogea tu.
 
Ukiona mtawala anaanza kuwalazimisha watu kwenda kinyume na dini zao elewa kuwa siku zake zinahesabika.
Ukiona mtawala anaanza kuuza raslimali za nchi kwa wageni ambspo ni kinyume na matakwa ya Wananchi wake elewa siku zake zinahesabika.
 
Hata binadamu, ngombe, mbuzi, kondoo, ngamia n.k wanabeba hao pathogens, wewe umewaona wa nguruwe tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…