Rwanda kuanza kutumia robots ili kupunguza daktari na mgonjwa kukutana katika kuepuka Corona

Rwanda kuanza kutumia robots ili kupunguza daktari na mgonjwa kukutana katika kuepuka Corona

Akiongea kupitia televisheni waziri Ngamije amesema Roboti tano zilizoagizwa kutoka nje ambazo zimepewa majina ya Kinyarwanda zitatumika kama kiunganishi kati ya dokta na mgonjwa, na hivyo kupunguza mawasiliano ya binadamu na hatari za kusambaa kwa virusi.
HIZO ROBOTS KUTOKA NJE! IKIWA KAMA NJE YENYEWE NI CHINA TAYARI NI MASHAKA MAANA ZINAWEZA KUPIMA MGONJWA JOTO ZIKAMPELEKEA MAJIBU DOKTA KWAMBA MGONJWA ANA HOMA KALI KULIKO KAWAIDA WAKATI MGONJWA LABDA ALIKUWA KTK HATUA ZA KURUHUSIWA AKACHEZE SOKA!

NI HATUA MOJA MBELE RWANDA IMEPIGA HASA UKICHUKULIA UDOGO WA ENEO LAO LA NCHI NA PIA UCHACHE WA RAIA WAO ILA VITU KAMA HIVYO VINAVYOHUSIKA NA MAISHA YA BINADAMU KTK KADHIA ZA 'COVID-19 TESTS' NI VYEMA AFRICA TUANGALIE WATENGENEZAJI WENGINE WENYE VIWANGO ZAID KTK BIASHARA.
WE MUST SAY NO TO UNRELIABLE HEALTH EQUIPMENTS SOURCES.
 
Rwanda na majigambo, wazee wa kujigamba East Africa wakati uwezo ni 0.

Mpaka sasa Tanzania kutokana na maamuzi raisi magu aliyofanya ndio hata ma raisi wa ulaya wanabadili na kuelekea uelekeo ule ule wa Tz.Hii imenifanya nimheshimu huyu mzee kwa kweli.Sijaona East Africa, wengine bogus tu
.

Rwanda hamjafikia huo uwezo wa kutumia robots kupunguza maambukizi.
USA wana robots zinatengenezwa NASA na zinatumwa mpaka sayarini lakini Corona inawapiga 3 - 0.

Robots hazitosaidia chochote,bora hata sisi tuna Fanya research ya tiba asili.
povu
chuki
hasira
roho mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
leo tena RDF na Burundi wamerushiana risasi nyingi saana neno lako plz

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani nilisoma sehemu kwamba wavuvi wa Burundi waliingia kwny maji ya Rwanda then hao RDF wakataka kuwakamata jeshi la Burundi likawashambulia RDF nao wakawarushia risasi.RDF wanasema wao hawajapata majeruhi na jeshi la Burundi kuna wanajeshi wamekufa.

Nadhani haikua serious sana lkn Rwanda kwny boda zao hua wako tight sana/hawacheki na kima na sijui kama kuna uhusiano na hili la juzi maana PK alikua na mkutano na wakuu wa RDF na kesho yake ndio tukio hilo la Boda likatokea.
 
mgogoro umeisha au bado kuna kuviziana hapo mpakani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom