Rwanda kuizidi Zanzibar kwa Utalii??

Rwanda kuizidi Zanzibar kwa Utalii??

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Naangalia takwimu naona Rwanda na Zanzibar wanakaribiana mno kwa idadi ya watalii wanao tembelea nchi hizo mbili..

Ingawa Rwanda wanatumia pesa mara 50 zaidi kutangaza nchi yao..

Nafikiri ndani ya miaka mitatu ijayo wataiacha Zanzibar .....ingawa Zanzibar ni brand kubwa Sana kiutalii..

Tumlaumi nani??
 
Mkuu figure za serekali ya CCM kuhusu watalii ni zakupika, huwa wanazidisha nambers waonekanwe wanaingiza watalii wengi, yawezekana kabisa kuwa Rwanda washatuacha mbali

Inasikitisha sana
 
Naangalia takwimu naona Rwanda na Zanzibar wanakaribiana mno kwa idadi ya watalii wanao tembelea nchi hizo mbili..

Ingawa Rwanda wanatumia pesa mara 50 zaidi kutangaza nchi yao..

Nafikiri ndani ya miaka mitatu ijayo wataiacha Zanzibar .....ingawa Zanzibar ni brand kubwa Sana kiutalii..

Tumlaumi nani??

ccm ni chama cha hovyo hovyo sana
 
Naangalia takwimu naona Rwanda na Zanzibar wanakaribiana mno kwa idadi ya watalii wanao tembelea nchi hizo mbili..

Ingawa Rwanda wanatumia pesa mara 50 zaidi kutangaza nchi yao..

Nafikiri ndani ya miaka mitatu ijayo wataiacha Zanzibar .....ingawa Zanzibar ni brand kubwa Sana kiutalii..

Tumlaumi nani??
Sema Watanzania tuna lalamika kwenye kila kitu.

Je, tuko tayari kuingia gharama za kuwekeza kwenyd marketing kama wanavyofanya Rwanda ??

Ila jamani wabongo tunachonga. Likifanyika A tunachonga, likifanyika B tunachonga lisipofanyika tunachonga.
 
Nchi za uarabuni wametumia mabilion ya dola kujenga na kutangaza utalii.
Na si ajabu wanapata idadi kubwa ya watalii kushinda hata nchi zenye utalii wa asili. So si ajabu Rwanda kuishinda znz maana wao wanawekeza sana
 
Naangalia takwimu naona Rwanda na Zanzibar wanakaribiana mno kwa idadi ya watalii wanao tembelea nchi hizo mbili..

Ingawa Rwanda wanatumia pesa mara 50 zaidi kutangaza nchi yao..

Nafikiri ndani ya miaka mitatu ijayo wataiacha Zanzibar .....ingawa Zanzibar ni brand kubwa Sana kiutalii..

Tumlaumi nani??

..Kuna umuhimu pia wa kuangalia watalii wa ndani.

..Huko tunakowatangazia vivutio vyetu, wananchi wao wana UTAMADUNI wa kudunduliza, na kuweka akiba, ili waweze kutembelea vivutio mbalimbali,ndani, au nje, ya nchi zao.

..Nitafurahi zaidi kama Watanzani watakuwa na uwezo na utamaduni wa kutembelea vivutio mbalimbali vilivyoko nchini kwetu.
 
Sema Watanzania tuna lalamika kwenye kila kitu.

Je, tuko tayari kuingia gharama za kuwekeza kwenyd marketing kama wanavyofanya Rwanda ??

Ila jamani wabongo tunachonga. Likifanyika A tunachonga, likifanyika B tunachonga lisipofanyika tunachonga.

Lini Sisi tumetumia mamilion ya dola kutangaza?Na lini tumelalamika? ..

Nani aliesema tusitumie pesa kutangaza?
Zanzibar walizuiwa na nani kutangaza?
 
Ni kipi kilishawahi kufanyika malalamiko yakakosekana ??
 
Lini Sisi tumetumia mamilion ya dola kutangaza?Na lini tumelalamika? ..

Nani aliesema tusitumie pesa kutangaza?
Zanzibar walizuiwa na nani kutangaza?

..madege tuliyonunua kwa matrillioni ya fedha ni kwa ajili ya kusomba watalii ughaibuni kuwaleta Tanzania.

..tumetumia trillion 2 kununua madege, huku wizara ya kilimo imepangiwa bajeti billion 294.
 
Maajabu makubwa kabisa, then tunaagiza mchele,sukari, mafuta ya kula,ngano etc kwa zaidi ya trilioni mbili huku tungeweza kuwa net exporter wa zaidi ya hizo trillion mbili...CCM must go!!
 
..Kuna umuhimu pia wa kuangalia watalii wa ndani.

..Huko tunakowatangazia vivutio vyetu, wananchi wao wana UTAMADUNI wa kudunduliza, na kuweka akiba, ili waweze kutembelea vivutio mbalimbali,ndani, au nje, ya nchi zao.

..Nitafurahi zaidi kama Watanzani watakuwa na uwezo na utamaduni wa kutembelea vivutio mbalimbali vilivyoko nchini kwetu.
Kipato mkuu!
Ni wangapi Tanzania hii wenye uwezo wa akiba ya kutembelea sehemu za utalii?
 
Naangalia takwimu naona Rwanda na Zanzibar wanakaribiana mno kwa idadi ya watalii wanao tembelea nchi hizo mbili..

Ingawa Rwanda wanatumia pesa mara 50 zaidi kutangaza nchi yao..

Nafikiri ndani ya miaka mitatu ijayo wataiacha Zanzibar .....ingawa Zanzibar ni brand kubwa Sana kiutalii..

Tumlaumi nani??
That will never happen bro

Chema chajiuza, kibaya chajitembeza

hizo Pesa wanazotumia zitasaturate

trust me… zenji is coming good
 
Kipato mkuu!
Ni wangapi Tanzania hii wenye uwezo wa akiba ya kutembelea sehemu za utalii?

..Ni lazima tukuze vipato vya wananchi wetu ili waweze kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii hapa nchini, na nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom