BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Maccm.
Naangalia takwimu naona Rwanda na Zanzibar wanakaribiana mno kwa idadi ya watalii wanao tembelea nchi hizo mbili..
Ingawa Rwanda wanatumia pesa mara 50 zaidi kutangaza nchi yao..
Nafikiri ndani ya miaka mitatu ijayo wataiacha Zanzibar .....ingawa Zanzibar ni brand kubwa Sana kiutalii..
Tumlaumi nani??