Naangalia takwimu naona Rwanda na Zanzibar wanakaribiana mno kwa idadi ya watalii wanao tembelea nchi hizo mbili..
Ingawa Rwanda wanatumia pesa mara 50 zaidi kutangaza nchi yao..
Nafikiri ndani ya miaka mitatu ijayo wataiacha Zanzibar .....ingawa Zanzibar ni brand kubwa Sana kiutalii..
Tumlaumi nani??
Sema Watanzania tuna lalamika kwenye kila kitu.Naangalia takwimu naona Rwanda na Zanzibar wanakaribiana mno kwa idadi ya watalii wanao tembelea nchi hizo mbili..
Ingawa Rwanda wanatumia pesa mara 50 zaidi kutangaza nchi yao..
Nafikiri ndani ya miaka mitatu ijayo wataiacha Zanzibar .....ingawa Zanzibar ni brand kubwa Sana kiutalii..
Tumlaumi nani??
Naangalia takwimu naona Rwanda na Zanzibar wanakaribiana mno kwa idadi ya watalii wanao tembelea nchi hizo mbili..
Ingawa Rwanda wanatumia pesa mara 50 zaidi kutangaza nchi yao..
Nafikiri ndani ya miaka mitatu ijayo wataiacha Zanzibar .....ingawa Zanzibar ni brand kubwa Sana kiutalii..
Tumlaumi nani??
Sema Watanzania tuna lalamika kwenye kila kitu.
Je, tuko tayari kuingia gharama za kuwekeza kwenyd marketing kama wanavyofanya Rwanda ??
Ila jamani wabongo tunachonga. Likifanyika A tunachonga, likifanyika B tunachonga lisipofanyika tunachonga.
Ni kipi kilishawahi kufanyika malalamiko yakakosekana ??Lini Sisi tumetumia mamilion ya dola kutangaza?Na lini tumelalamika? ..
Nani aliesema tusitumie pesa kutangaza?
Zanzibar walizuiwa na nani kutangaza?
Lini Sisi tumetumia mamilion ya dola kutangaza?Na lini tumelalamika? ..
Nani aliesema tusitumie pesa kutangaza?
Zanzibar walizuiwa na nani kutangaza?
Maajabu makubwa kabisa, then tunaagiza mchele,sukari, mafuta ya kula,ngano etc kwa zaidi ya trilioni mbili huku tungeweza kuwa net exporter wa zaidi ya hizo trillion mbili...CCM must go!!..madege tuliyonunua kwa matrillioni ya fedha ni kwa ajili ya kusomba watalii ughaibuni kuwaleta Tanzania.
..tumetumia trillion 2 kununua madege, huku wizara ya kilimo imepangiwa bajeti billion 294.
Kipato mkuu!..Kuna umuhimu pia wa kuangalia watalii wa ndani.
..Huko tunakowatangazia vivutio vyetu, wananchi wao wana UTAMADUNI wa kudunduliza, na kuweka akiba, ili waweze kutembelea vivutio mbalimbali,ndani, au nje, ya nchi zao.
..Nitafurahi zaidi kama Watanzani watakuwa na uwezo na utamaduni wa kutembelea vivutio mbalimbali vilivyoko nchini kwetu.
That will never happen broNaangalia takwimu naona Rwanda na Zanzibar wanakaribiana mno kwa idadi ya watalii wanao tembelea nchi hizo mbili..
Ingawa Rwanda wanatumia pesa mara 50 zaidi kutangaza nchi yao..
Nafikiri ndani ya miaka mitatu ijayo wataiacha Zanzibar .....ingawa Zanzibar ni brand kubwa Sana kiutalii..
Tumlaumi nani??
Kipato mkuu!
Ni wangapi Tanzania hii wenye uwezo wa akiba ya kutembelea sehemu za utalii?
Zanzibar ni brand kubwa.That will never happen bro
Chema chajiuza, kibaya chajitembeza
hizo Pesa wanazotumia zitasaturate
trust me… zenji is coming good